RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,235
- 138,623
yaani siku hizi unaniburudisha kweli kweli....kaka naona umeamua kuja kusakafia
yaani siku hizi unaniburudisha kweli kweli....kaka naona umeamua kuja kusakafia
duh! hata ww? kweli mkia hatareBinafsi mkia ndio kila kitu kwangu kwa mwanamke....sura mbovu nitaivumilia tu....Ila flat screen ni haramu kwangu.
Limekufika hapaaa mpk umeamua liwalo na liweyaani siku hizi unaniburudisha kweli kweli....
tunapothema wapare wafupi hatumaanishi n'wote mkuu.Kama ingekuwa hivyo waafrica tungekuwa na IQ kubwa kuliko watu wote duniani lakini wapi? Na yule mchina asingeshika nafasi ya pili katika mtihanai wa taifa wa darasa la nne kwa kuwa mama yake ni flat screen?
mbona ccm haina mkia.duh! hata ww? kweli mkia hatare
UNA MANENO MKUUSasa mkuu ni sawa na kutafuta switch kwenye jiko la mkaa .
Mkuu kwani wewe mkia huna?Basi Africa ingekua inaongoza kwa IQ kubwa.
Karibu sanayaani siku hizi unaniburudisha kweli kweli....
hhahahahaahhahahWatuache na flat zetu
Mkuu Hammy D umetoka kule kwenye siasa unafika huku?Binafsi mkia ndio kila kitu kwangu kwa mwanamke....sura mbovu nitaivumilia tu....Ila flat screen ni haramu kwangu.
Mbona unaguna mama.Lohhhh
Poleee mkuu[emoji12]utaharibu mada
KidogoUNA MANENO MKUU
Haaahaa Chisasiiiiii! (Kwa lafudhi ya kichaga)Vivulana aina yako unakuta ni vyembamba kama uzi hata kakilala kitandani utazan hakuna mtu. Pumbavu kafie mbele
Mkia hata wewe si unaoMsema kweli mpenzi wa mungu kama ilivyozoeleka na ukweli siku zote humuweka mtu huru.
Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani.
Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili na hata ikitokea bahati mbaya nikatoka nae basi ni mara moja tu (simba akiishiwa nyama hula majani).
Flat screens kwa kweli hawana nafasi kwangu, usipokua na mkia hata ofa ya kinywaji sitoi.
Narudia kusema ukweli humuweka mtu huru, haya ni maoni yangu binafsi
Eeh wale waliojaza jaza... Mmmmh haha aseeh sheikh ananichekesha saana13. Neema za Allah.
Flat screen plusNyoooo......kwenda zako huko.........