Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,837
Pamoja saaaaaanaMwanamke lazima awe na Good looking behind, promising behind, blessed behind, vinginevyo ananipa wakati mgumu kumtazama mara 2.
Flat screen ni BIG NO kwangu.
Pamoja saaaaaanaMwanamke lazima awe na Good looking behind, promising behind, blessed behind, vinginevyo ananipa wakati mgumu kumtazama mara 2.
Flat screen ni BIG NO kwangu.
Siwanyanyapai, nimesema tu napendelea mwanamke wa aina gani, sio kunyanyapaa.Kwa sisi wanaume wa kiafrika asilimia kubwa huo ndo msimamo wetu,mkia na hipsi kwanza.Mara nyingi tunaanza kumwangalia mwanamke kwenye nyonga kwanza halaf ndo usoni,miguu,kifua etc.Ila mimi flat screen siwanyanyapai kama wewe...hawakupenda wazaliwe hivyo sasa wafanyaje?
komaa utapataKwa nini umewakopi hao sipati concept unajua eeeehhh
wewe kwa upande wako vepee una nyama kidogo au mboyoyo tu kwa sisi wenye flat screen zetu ?Mwanamke lazima awe na Good looking behind, promising behind, blessed behind, vinginevyo ananipa wakati mgumu kumtazama mara 2.
Flat screen ni BIG NO kwangu.
Hahahaa..Preta vp tenaNyoooo......kwenda zako huko.........
Nice poemNa me vivyo hivyo hawana ujanja kwa ke,.
Sabalkheri Bibie.Sahare
wakivaa na nguo za kubana wanaleta shida sana
😱😱😱😱😱😱Sabalkheri Bibie.
Ahahahahaha vipi?😱😱😱😱😱😱
komaa utapata
hahahahaha mkuu Mulhat Mpunga unanionea huruma eeehhh?usiwaze mkuu wala hata sikomai nipate kijungu coz nimeridhika na flat screen yangu siko radhi nijitese sijui kuvaa skin za vijungu au mchina ili na mi nionekane hawa hawa wanaopagawa na mimi wananitosha nikipata kijungu watanikimbia coz vijungu sio taste zao.komaa utapata
wape wape vidonge vyao,........................Naona team flats wamepanic humu,na kudai wananyanyapaliwa/kudhalilishwa na ilhali hawa hawa wamekuwa deile wakiwaongelea team vibamia ,team shorts na hata team eric omondi kwa maneno mabaya sana,kwa kuwa tu hao sio ktk preferences zao,na hakuna m.ume aliyehoji eti ulishawahi kumchungulia babako ukamuona kuwa ni kibamia au dushe,au babako naye ana six packs au vipi nawe babako ni hashim thabiti?wanaume wenye hizo kasoro hakuwahi kuhoji izo mada kwa kuwahusisha wazazi moja kw moja bt leo hii nashangaa team flats walivopanic mpk kufikia hatua ya kuwaingiza wazazi katika haya mambo yetu huku.
Ila kiukweli team flats ni hakuna mvuto,hamnati yani,we ukitaka kujua hili piteni mbele vidume,ukiwa wewe ni flat na shosti ako ni kichuguu,wallah utajickia vibaya sana muda wote wa safari yenu,coz shosti kichuguu atakuwa anasumbuliwa sana na marijali uku ww flat ukipitwa kama haupo vile. Hata kama unatembea na mumeo/boyfriend wako hlf mkapishana na kitu kichuguu huyo partner wako ama atazuga kufanya lolote mradi tu aucheki vizuri mkia au atajikiza kisabuni kutokn na uwepo wako,lkn moyoni ataumia kweli kweli kwa kukosa kutia nuru macho...
ila msijali flats ni uumbaji wa Mungu tu huwezi kupewa vyote!na msijenge chuki huu ni mtizamo tu wa mleta uzi na mimi pia.
aisee..na makalio ndio silaha ya maangamizi wanayo tumia wanawake wengi kuwa tega wanaume. hilo najua unalitambua.😱😱😱😱😱😱
.... Linamo tusaidie kale kapicha kusadifisha maelezo haya mujarabu!Mi napenda kuna design flani hivi mwanamke siyo matako makubwa wala madogo sana yani kuna zile Nyama flani za kawaida halafu umbo lionekane siyo mwanamke hujui kiuno kiko wapi halafu awe kapanda hewani kidogo. Awe mweusi au maji ya kunde hapa nimemaliza.
Wewe utakua fungu la kukosa tu.😀Nyoooo......kwenda zako huko.........