Mtoa mada anaongelea anachopenda, mzigo ulioshiba! tatizo liko wapi! ni kama tu baadhi ya wanawake wanapenda kidume chenye kifua au sifa ingine, wengi mnabeza kwasababu labda ni ke na hauna huo mzigo (usipanic wapo wanaopenda flat ndo maana umewai kutongozwa ) au ni me (kisa labda toto yako hana, nawe pia usipanic umechagua mwenywe )...kama unaona nundu sio ishu basi toa sifa za flat, its simple, na mnaoleta ishu za mama, dada na ndugu wengine mna vichwa maji hapa mada inahusu preference ya sexual partner(ndugu wanaingiaje?) …nilikuepo!