Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Ulivyo defensive si ajabu wewe ni mmoja ya walioambiwa mpite mbali...ila pole mkuu mkia majaliwa!
Mkuu hizi mipacha sio kwa hadhi yako bhana
hahahaha imejipostMkuu hizi mipacha sio kwa hadhi yako bhana
Yes i dont mkuuU dnt wnt me to knw?!
[emoji1] [emoji2] [emoji3]Yes i dont mkuu
Excuse me nimeququote kimakosa mahala fulani[emoji1] [emoji2] [emoji3]
hahahaha imejipost[/
hahahaha unatutafuta maneno weweWala hata hatumtoboi taamu tunampa ukweli tu kama na yeye anavyotupa ukweli sie team flat screeeeeen
lakini blue g kwa uzuri wako huwezi kuwa samsung bravia.Wala hata hatumtoboi taamu tunampa ukweli tu kama na yeye anavyotupa ukweli sie team flat screeeeeen
kwani flat screen zinakazi gani?Makalio huwa yana kazi gani?
together sana kweny hili, kishuzi kina raha yake bwana. Hasa ukiwa umemkunja mwendo wa mbuzi kagoma. au wakati yuko naked anaenda ama kuiosha au kuoga. nikikiangalia tu namuhairishia safari, na kumrudisha uwanjani.Msema kweli mpenzi wa mungu kama ilivyozoeleka na ukweli siku zote humuweka mtu huru.
Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani.
Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili na hata ikitokea bahati mbaya nikatoka nae basi ni mara moja tu (simba akiishiwa nyama hula majani).
Flat screens kwa kweli hawana nafasi kwangu, usipokua na mkia hata ofa ya kinywaji sitoi.
Narudia kusema ukweli humuweka mtu huru, haya ni maoni yangu binafsi
Wala sitafuti maneno na mtu najisemea ukweli tu hapa cha kujikataa kisa wanaosifiwa ni vijungu akkhhhhaaa kwa raha zangu mie flat na wenzanguhahahaha unatutafuta maneno wewe
Yaani taamu utake ustake upende usipende yaani mi ni flat tena haswaa tena kama ya wale dada zetu akina kanjibai na hakuna cha uzuri wala nini hapa ni kujikubali tu basiiii narudia tena team flat oyeeeeeeeeeeelakini blue g kwa uzuri wako huwezi kuwa samsung bravia.
hahahahahaha oyeeeeeeeeeeeeeeeeWala sitafuti maneno na mtu najisemea ukweli tu hapa cha kujikataa kisa wanaosifiwa ni vijungu akkhhhhaaa kwa raha zangu mie flat na wenzangu
Hahahaaah.........huna vigezo anavyotaka??Nyoooo......kwenda zako huko.........
Huwa yana kazi ya KukaliaMakalio huwa yana kazi gani?