Kusema kweli mwanamke ambae hana makalio apite mbali

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,894
19,058
Msema kweli mpenzi wa mungu kama ilivyozoeleka na ukweli siku zote humuweka mtu huru.

Mimi mwanamke ambae hana mkia au makalio ya kueleweka anipite mbali hata awe na sura nzuri kiasi gani.

Mwanamke ambae hana mkia simuangalii mara mbili na hata ikitokea bahati mbaya nikatoka nae basi ni mara moja tu (simba akiishiwa nyama hula majani).

Flat screens kwa kweli hawana nafasi kwangu, usipokua na mkia hata ofa ya kinywaji sitoi.

Narudia kusema ukweli humuweka mtu huru, haya ni maoni yangu binafsi
 
unataka kutuambia kuwa butts nazo zinatumiaka katika sex au ni pussy tuu???

alafu na ukimuuliza ni style gan anapenda kutumia pindi awapo kwenye sex na big butt atakuambia ni dogy style?

for sure unaonekana wewe ni mwanachama wa ule mtandao pendwa, ila nakushauri Halotel pia wako poa sana:D:D
 
Back
Top Bottom