Joel
Platinum Member
- Sep 1, 2007
- 1,087
- 635
na kifupi cha Joel?
mkuu Joel haina kifupi
na kifupi cha Joel?
Kulikua na uzushi siku mbili tatu zilizopita kuwa clouds Fm imeuzwa kwa Rostam Aziz na mtoa mada aliandika akiwa na uhakika sana kwamba ameambiwa na mtu wa karibu na clouds, Leo the big boss CEO wa clouds Bwana Joseph Kusaga amekanusha na kusema kuwa ni uzushi wa watu either wanaokaa bila kazi au watumiaji wa madawa ya kulevya au wapinzani wake wa kibiashara ndio wanaosambaza uzushi
MY TAKE: Yule jamaa aliyesema amepata taarifa za ukweli sasa sijui ametoa wapi, anaweza akawa yuko Right but in the wrong position
MZANDIKI TU YULE,,ANAITWA GENTAMYCINE (Last Activity Today 11:41).ATAKUWA ANAISOMA hii thread kimyakimyaALIYELETA MADA YA KUUZWA CLOUDS jana alikuwa anatukana watu waliomchallenge kuhusu iyo issue
Tetesi: Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Mediahii ni roho ya kichawi..Mkuu Ina UKWELI Wa 100% Tena Mimi Naongezea Kuwa Ina UKWELI Wa Asilimia Trilion Milioni Moko. Rostam Keshafanya Yake Hapo!
kwa roho yake ya uzabizabina akaendelea kusisitiza..Mkuu GENTAMYCINE punguza maneno makali. umetoa taarifa yako from ur own sources ambazo umedai kuziamini inatosha. Wadhungu wanasema time is the best teacher, ukweli/uongo vitajulikana
Haswaaa Mkuu. Amini Hiyo Taarifa Na Narudia Tena Sijaibahatisha Na Hivyo Ndivyo Ilivyo Na Anayepinga Ni VUVUZELA Tu Na POPOMA Pure!
Maswali Mengi Na Ya Kinafiki Na Kisanifu Siyataki Bali Nasisitiza Kusema Kuwa Bwanyenye Rostam Aziz Ameinunua Rasmi Clouds Media Period.
some people are alive just because it is illegal to kill them..Nilikwisha Waambieni Kuwa Ipo Siku Tu Mtanipigia Salute. Nyie Hamshangai Tu Ni Kwanini Najiamini Kiasi Hiki? Tafakarini Kwa Kina Mtanielewa Tu.
nikaambulia hiki..hii nukuu ulidhamiria kwangu??...sasa nadharia yote hii ya nini??...hutaki kuhojiwa juu ya mada uliyoleta??..ama unalazimisha niikubali habari yako pasi na shaka??...
Usinichoshe Tafadhali.
Ephraimu Kibonde ndo icon ya clouds wanamtumia sana kuisIFIA CCM,USHAHIDI upo,kumbukeni kipindi kile cha uchaguzi alivyomchafua sugu na CHADEMA kwa ujumla,hata sasa hajaacha,haipiti wiki lazima aisifie CCM na nzuri zaidi anatumika kama condom ,hata ukuu wa wilaya amenyimwa naamini atajirekebisha,Clouds fm wamekana kuwa shutuma zinazotolewa kwenye social media hasa jamiiforums kwamba wao CCM sio za kweli.
Akihojiwa CEO wa clouds katika kipindi power breakfast, amesema wao kama radio hawana chama kwa sababu hata sheria TCRA haziruhusu.
Pia kwenye uchaguzi wa mwaka huu wagombea wote watapewa nafasi sawa.
Ameendelea kusema kuwa wafanyakazi wachache kuwa CCM haimaanishi clouds yote ni CCM.
Pia clouds imekanusha habari zilizozagaa kuwa radio imenunuliwa na Rostam Aziz, ameongeza kuwa hizo ni propaganda za kuichafua radio hiyo.
Amesema kama wakiuza radio watatangaza kwasababu radio ni yao,na hawamuogopi mtu.
Wakati wanamuhoji nimesikia wanamuita Joh (labda ndiye Joseph Kusaga) sina uhakika na majina mengine,wanomfahamu watatujuza.
Jf ni mtambo wa kurekebisha tabia.
Kuna haja ya kuleta Vyeti vya elimu na vipimo vya afya wakati unajisajili JF sioni tofauti na Facebook cku hizi maana mtu Hajafanya research yoyote anakurupuka tuu eti Clouds imeuzwa Kama umemsikia Kusaga Hata Cheka yake inaonesha hizo habari ni za kipuuzi
Too late clouds...reputation yakuwa media zenu ni ccm hamuwezi kuiondoa kwa vijimaneno tu ilishajijenga kwenye jamii ndomaana ata TV yenu sijui taarifa watu hawaangalii. Too biased eti Redio/TV yawatu you don't deserve that. Mnazidiwa hata na star TV ambayo mmiliki wake ni kada na mwenyekiti ccm mkoa Mwanza..utaona km mikutano yawapinzania inakuwa covered, mijadala asubuhi very perfect sio nyie hata wanasiasa mnaowakaribisha kwa redio na TV zenu ccm tu. Ccm ikifa nanyie kwishinehi .... Binafsi siwapendi heri msitangaze kabisa mambo yasiasa watu wajue moja
Kama vipi waandae sherehe kwa siku ya kuzaliwa Godbless Lema ndio nitayaamini maneno yake
Le Mutuz,- Kama Clouds ni CCM ni tatizo la TCRA sio JF, sometimes mnajitwisha mizigo mkubwa kuliko uwezo mlionao wapambe wa Chadema, badala ya kutafuta mgombea urais maana hamna mnahangaika na Radio kwani ingekuwa ya Chadema ndio mngeshinda uchaguzi? Mbona kuna radio kibao zinawashangilia na hamjashinda uchaguzi hata mmoja toka muwe Chadema mpaka UKAWA, kila siku kutafuta wachawi tu badala ya kujiangalia wenyewe kwamba lichama lenu limechoka hakuna anayeliamini na mlipoungana na UKAWa ndio kabisa mmejimaliza sasa mnasingizia Clouds? hahahahahahah kweli sikio la kufa bwana!1
Le Mutuz
Nchi hii inaishi kwa matukio!
Hii tabia ya kukanusha ilhali watu wanaujua ukweli sijui itakoma lini???
Blatant lie, and he knows that he is lying about this!!
Me Mutuz,
Naona hata ukuu wa wilaya wamekusahau.
Endelea kuwashabikia always on the outside
looking in.
- Kama Clouds ni CCM ni tatizo la TCRA sio JF, sometimes mnajitwisha mizigo mkubwa kuliko uwezo mlionao wapambe wa Chadema, badala ya kutafuta mgombea urais maana hamna mnahangaika na Radio kwani ingekuwa ya Chadema ndio mngeshinda uchaguzi? Mbona kuna radio kibao zinawashangilia na hamjashinda uchaguzi hata mmoja toka muwe Chadema mpaka UKAWA, kila siku kutafuta wachawi tu badala ya kujiangalia wenyewe kwamba lichama lenu limechoka hakuna anayeliamini na mlipoungana na UKAWa ndio kabisa mmejimaliza sasa mnasingizia Clouds? hahahahahahah kweli sikio la kufa bwana!1
Le Mutuz