daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 425
LISEMALWO LIPO KAMA HALIPO LINAKUJA.
Amenishangaza anaposema hata upande mwingine(upizani)huwa mnawapa coverage sawa na chama tawala.
Hiyo mimi sijaisikia kupitia Redio yenu sijasikia mnawaita UKAWA waje kuelezea kwa nini wanapinga KATIBA PANDIKIZI samahani PENDEKEZWA.
Waalikeni basi hata siku moja kama mlivyokuwa mnawaalika akina DC Makonda na SITTA