Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Status
Not open for further replies.

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Habari Za Uhakika Nilizozipata Kutoka Kwa Mtu Wa Ndani Kabisa Na Very Senior Kutoka Clouds Media Inayomiliki Redio Mbili Clouds FM Na Choice FM Pamoja Na Runinga Ya Clouds Tv Imenunuliwa Na Tajiri,

Mwanasiasa Na Mfanyabiashara Maarufu Hapa Nchini Tanzania Rostam Aziz Na Kwamba Kuanzia Wiki Iliyoisha Wafanyakazi Wote Wa Hiyo Media Walikuwa Wakiingia Mikataba Mipya Na Management Mpya Ya Bwanyenye Huyo Na Kwamba Kununuliwa Huku Kwao Hao Ni Politically Motivated.

Kazi Ipo Mwaka Huu!!!
=====================

UPDATES;

Hii habari imekanushwa kupitia hii thread=>Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz
 
Hongera zake, pia hakuna tofauti sana

Kwani imetoka I
BAFUNI sasa imeingia kwa CHOO

PESA ALIZOUZA HISA BILIONI 387 NADHANI NDIO

KAAMUA KUINUNULIA HIYO KAMPUNI
 
Kwani uongo siku hizi ni sifa mpaka upotoshe umma kwa matakwa yako unayotaka wewe.
 
Ndio maana wale watangazaji wa kile kipindi cha asubuhi wanasoma magazeti na kuongeza ama kuyaponda. Niwajuavyo wapiga kura wa tanzania hawaongozwi na tv hata kama watatishwaje.

Isitoshe ni wangapi wanamiliki au kuwa na muda wa kuangalia tv? Akainunue na itv kwani startv ni mali ya CCM
 
Hapo kama namuona papaa Ephraim kibonde akikalia kiti cha ukurugenzi wa clouds media,---Kama taarifa hii ni ya kweli.

Mkuu Ina UKWELI Wa 100% Tena Mimi Naongezea Kuwa Ina UKWELI Wa Asilimia Trilion Milioni Moko. Rostam Keshafanya Yake Hapo!
 
Mbona hilo ni jambo la kawaida mno, labda unifafanulie manunuzi hayo yatakuwa na madhara gani kwa taifa !! Angekuwa amenunua TBc kwa bei ya kutupwa ningekuelewa maana inaendelezwa kwa kodi za wananchi.

Haujamuelewa! Clouds ni tbccm3!
 
Mkuu GENTAMYCINE punguza maneno makali. umetoa taarifa yako from ur own sources ambazo umedai kuziamini inatosha. Wadhungu wanasema time is the best teacher, ukweli/uongo vitajulikana
 
Breaking news au Breaking "udaku"? Great thinkers siku hizi wanajadili tetesi, tena toka kwa mtu ambaye anachanganya sarufi kubwa na ndogo, maajabu.
 
Haujamuelewa! Clouds ni tbccm3!

Na kweli sijamwelewa kuna madhara gani kwa taifa kama Rostam atanunua Cloud media, Sahara media, Tumaini Media, Radio Imaaan, Radio Kwizela, Upendo FM na vituo vingine vyote !! Tatizo liko wapi, kama Clouds ni tbcc3 kama ulivyosema kuna shida gani hata ikiwa tbccm1000 ?
 
Ndio maana wale watangazaji wa kile kipindi cha asubuhi wanasoma magazeti na kuongeza ama kuyaponda. Niwajuavyo wapiga kura wa tanzania hawaongozwi na tv hata kama watatishwaje. Isitoshe ni wangapi wanamiliki au kuwa na muda wa kuangalia tv? Akainunue na itv kwani startv ni mali ya ccm

Mkuu Mnasihi wewe ni mtu wa ajabu sana... hapa unakiri kwamba ni watanzania wachache sana wanaomiliki au angalau kuwa na muda wa kutizama TV,hivyo nyie bavicha hambabaishwi na matangazo ya TV na radio ambayo yapo against chama chenu..!

Swali...je mnapopiga kampeni huku mitandaoni hasa humu JF ni watanzania wangapi wanawasikia? Kipi ni rahisi ku-access..TV au mtandao?
 
Inawezekana kwani sio ajabu kwa kampuni kuuza hisa,kama wamesaini mkataba mpya basi inawezekana clouds fm wame-outsource kazi kwa kampuni nyingine yote yanawezekana,

Mkuu Gyentamacine wafanyakazi wamesaini mkataba na kampuni ya clouds au kampuni ya rostam? Kusaga ameuza hisa zote au baadhi au ame-outsource kazi kwa rostam?
 
Na kweli sijamwelewa kuna madhara gani kwa taifa kama Rostam atanunua Cloud media, Sahara media, Tumaini Media, Radio Imaaan, Radio Kwizela, Upendo FM na vituo vingine vyote !! Tatizo liko wapi, kama Clouds ni tbcc3 kama ulivyosema kuna shida gani hata ikiwa tbccm1000 ?

Waswahili husema asiejua maana haambiwi maana! Nauheshimu usemi huo especially nyakati hizi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom