Chambo81
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 441
- 200
Twende kazi ..!:yo:
Yeeeeaaahh!!!!!
Twende kazi ..!:yo:
Inawezekana kwani sio ajabu kwa kampuni kuuza hisa,kama wamesaini mkataba mpya basi inawezekana clouds fm wame-outsource kazi kwa kampuni nyingine yote yanawezekana,
Mkuu Gyentamacine wafanyakazi wamesaini mkataba na kampuni ya clouds au kampuni ya rostam? Kusaga ameuza hisa zote au baadhi au ame-outsource kazi kwa rostam?
Lini Itashuka? Na Hongera Pia Kunifahamisha Kuwa Kumbe Ni Very Credible Humu! Nilikuwa Sijui Tyta. UKWELI NDIYO HUO NA SIUBADILISHI.
ee mungu tunajua akili zako hazichunguziki!!tunakuomba wewe mwenye rehema uiondoe ccm tanzania kwa mkono wako wenye nguvu kuliko wanadamu wote na miungu yote.
itashuka kama habari si kweli...kwa kuwa umeonesha kujiamini kwa habari uliyoleta tusiokuwa na uhakika hatutakuhukumu....cha msingi ni kuthibisha kutoka chanzo kingine cha karibu..
Maswali Mengi Na Ya Kinafiki Na Kisanifu Siyataki Bali Nasisitiza Kusema Kuwa Bwanyenye Rostam Aziz Ameinunua Rasmi Clouds Media Period.
this might be true
Maswali Haya Ya Kipuuzi Kamuulize Kibonde au Millard Ayo Sawa? Unakoelekea UTANITIBUA Yaanze Kunitoka Kisha Tugombane Sawa?
inaonekana kama vile upo hapo hapo kikazi hivyo fanya hima mtafute yule bosi wenu senior atokaye nchi ambayo raia wake wengi wanafanya kazi hapa nchini tanzania tena za vyeo vya juu tu huku wengine wakiwa ni walimu lakini sisi watanzania kamwe hatuwezi kufanya kazi kwao na rais wao ni bonge la teja
huku makamo wake akiwa ni bonge la mafia na ofisi yake sometimes huwa ipo ktk hilo jengo lenu jipya opposite na ofisi zenu. Nadhani mpaka hapa nitakuwa nimeshamaliza utata huu na sishangai wewe kutokujua hili kwani yawezekana ukawa ni dagaa tu unayeogelea ktk bahari yenye papa na nyangumi wengi.....pole!
Huna Hata Haja Ya Kuripoti Kwani Wapo Wenyewe Humu. Kama Umetumwa Kunichokonoa Wewe Endelea Na Sitakukawiza Majahanun Weye!
hii nukuu ulidhamiria kwangu??...sasa nadharia yote hii ya nini??...hutaki kuhojiwa juu ya mada uliyoleta??..ama unalazimisha niikubali habari yako pasi na shaka??...
Huwezi kunitisha kwa matusi wewe,mie mwenyewe mtoto wa mbwa wa manzese,mie nipo kitambo humu ndani na tunaleta habari zenye uhakika zisizokuwa na shaka,sasa kama wewe hautaki kuulizwa usianzishe thread za "KIWAKI"
Hapo kama namuona papaa Ephraim kibonde akikalia kiti cha ukurugenzi wa clouds media,---Kama taarifa hii ni ya kweli.
Dah! Mkuu hii ni Sala au maombi ya Dini gani?Ee Mungu tunajua akili zako hazichunguziki!!tunakuomba wewe mwenye rehema uiondoe ccm Tanzania kwa mkono wako wenye nguvu kuliko wanadamu wote na miungu yote.