Kubishana na ukweli ukiwa na chembe za uongo ni kujipotezea muda. watanzania hawaangalii maneno tu bali na vitendo. Mimi binafsi nimeishuhudia media hii ni imbalance sana katika masuala ya kisiasa.
Wanafiki hao!
Siyo Joh ni Joe hicho ni kifupi cha Joseph. Nadhani tuko pamoja.
Aisee!! Bado mnaisikiliza hii redio?Akijibu swali la Gerald Hando kuhusu na clouds kuhusishwa na CCM amesema Clouds haina chama. Katika mwaka huu wa uchaguzi amesema kila chama kitapewa haki sawa kwenye media yake. Pia Kusaga alisema media yake imekuwa ikisemwa vibaya hasa na mtandao huu wa JF kuwa clouds ni CCM na amekanusha Na kuita kuwa hizo ni propaganda za wapinzani wake wa media.
Habari Wanabodi,
Akizungumza moja kwa moja kutoka Abu Dhabi,CEO wa Clouds Media Ndugu Joseph Kusaga ametamka wazi mtandao wa JF unamuandika vibaya kwamba redio yake ni ya CCM,amesema kwamba radio yake haina chama,anafuata sheria za TCRA,kama kuna mfanyakazi wake anashabikia chama flani basi akirudia tena atachukuliwa hatua za kinidhamu.
Amesema kama clouds FM ingekuwa ina ushabiki na vyama basi ingekuw ya chadema maana Mbowe ni rafiki yak mkubwa sana wamefahamiana zaidi ya miaka 30.
Nawasilisha.
na kifupi cha Joel?
hata kumuona huwa nasikia kichefuchefu kwa kujua ha na covarage ya kutosha huko clouds vipindi vyake anavipeleka station zingine kama ITV kipindi cha nyumba ni kipindi kizuri ila kwa sababu yake wala sikifatili tenaKibonde kanifanya nisisikilize hiyo redio
haya ni maneno tuuu... maana moja ya sheria ni za uandishi wa habari.. ni kutokua biased..clouds kina kibonde, Hando, na wengine wengi tuu wako very biased wen it comes to upinzani.
Kibonde kanifanya nisisikilize hiyo redio