Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

Kusaga: Clouds FM haina chama! Akanusha Clouds kununuliwa na Rostam Aziz

MZANDIKI TU YULE,,ANAITWA GENTAMYCINE (Last Activity Today 11:41).ATAKUWA ANAISOMA hii thread kimyakimya

Tetesi: Siri imefichuka, Rostam Aziz ainunua Clouds Media

Started by GENTAMYCINE, 18th February 2015 10:52


hii ni roho ya kichawi..
huyu mdau akamuelimisha vizuri tu

kwa roho yake ya uzabizabina akaendelea kusisitiza..



some people are alive just because it is illegal to kill them..
nilipouliza hivi.

nikaambulia hiki..


baada ya kuhisi atabumbuliwa kwa rohombaya yake..akaja na mada nyingine..
Naenda Likizo ndefu na sitokuwepo humu kama mwaka hivi, Je niwaleteeni zawadi gani Membaz?

Started by GENTAMYCINE, 18th February 2015 13:01
..majungu si mtaji..

With All This Trash So What?
 
Nasimama Na Ukweli Wangu Ule Ule Na Siubadilishi Na Isitoshe Nimeshawapa ULTIMATUM Watu Watatu Hapo Mjengoni Kwao Waniombe Radhi Kwa Njia Zile Zile Walizotumia Kunitafuta Na Kunipa Hizi Taarifa Za Ndani Na Nyeti Na Hivi Ninavyandika Hapa Tayari Mmoja Wao Ameniomba Kukutana Na Mimi Makumbusho Ambako Nipo Kwa Sasa Navuta Huo UNGA Ambao Joseph Kusaga Kanituhumu Kuwa Nautumia. Naombeni Rukhsa Yenu Nikamsikilize Anataka Kuniambia Nini Na Nitawajuzeni Kinachojiri Na Sasa Wamebaki Hao Wawili Hivyo Kazi Kwao Na Labda Tu NITUMIE FURSA HII KUWAPA POLE WAMILIKI Wa JF Na WAFANYAKAZI Wake Wote Wakiwemo Moderators Na Wengineo Kwa Kutuhumiwa Vibaya Na Kwa Usumbufu Wote Walioupata Na Uliojitokeza Kwao ILA MIMI KAMA GENTAMYCINE NINA UHAKIKA NA NILICHOKILETA HAPA JAMVINI Na Labda Niseme Tu Kuna MENGINEYO PIA Sijayasema Humu Hivyo WASIJE WAKAZANI Nimekurupuka au Nimewaletea Matatizo Bali Wajue Kuwa NINA UHAKIKA NA NILICHOKIANDIKA Na Ndiyo Maana Sasa Hivi Huyu Mmoja Wao Anahaha Kuonana Na Mimi....Na Kuna Siku MTANIKUBALI Tu. Sasa Kaka Kusaga Popote Ulipo Kama Leo Asubuhi Umekanusha Na Hadi Kunikashifu Na Kuikashifu JF Huyu Mfanyakazi Wako Anahangaika Nini Kunilazimisha Nikaonane Nae Tena Huku Akiwa Tayari Hata Kunikodia USAFIRI Lakini Kwa Jeuri Ya UMASIKINI Wangu Nimemwambia Nakwenda Tu Na Public Shuttle Hivyo Asipate Shida Sana Juu Yangu.

MKUU GENTAMYCINE, NENDA KAONANE NAYE LAKINI USIWE PEKEYAKO, AMBATANA NA MTU MWINGINE. HII BONGO HAIAMINIKI KABISA! Ni ka-ushauri kangu hako!
 
Last edited by a moderator:
Sijui lakini akina Ruge huwa ndio wanaconnect mitambo ya mawasiliamo PA systems kwenye mikutano ya CCM Dodoma. Labda hao ndio wafanyakazi wachache wanachama wa CCM. Ila baadhi wameshiriki katika propaganda za chama kwenye redio. mhhhh!!!!! Ila mimi napita tuuuuu!
 
Unajua unavokuwa namwili mkubwa inategemewa na upstairs kidogo pawe ahueni... TCRA na JF imeingiaje hapa sasa, Chadema imeingiaje APA ? Kwenye post yangu nimetaja chadema? Upinzani kwa akili yako = Chadema? ... Mimi nimechangia topic ya uvumi kwamba jamii inaiona Clouds km ccm. Mimi nimesupport kwa ushahidi mdogo tu kuwa kila ukisikia mwanasiasa kakaribishwa Media za Clouds always ni ccm. Sasa watu wanaona nahauwezi ukauficha ukweli uliopo tayari kwamaneno tu. Unatakiwa kujibu hoja in line nakilichoandikwa brother sio kubwabwaja maneno tu yasiyoendana nakilichachangiwa, unaonekana hovyo aisee.

- Hakuna jamiii zaidi ya Chadema, lets say wewe mwili wako ni mdogo sasa unashandwaje kuona kwamba hata kama Clouds ingekuwa Raido yenu bado hamuwezi kushinda uchaguzi wewe umetumwa na Chadema kuichafua Clouds kwa sababu mnadhani mnashindwa uchaguzi kwa sababu ya Clouds akili ndogo ndani ya Mwili wako mdogo mjinga wewe nyamza tu unatia huzuni hapa wacha Clouds wafanye kazi zao za utangazaji na nyie endeleeni kuwa wapinzani ila msipangie Radio nini cha kufanya poleni sana!!, jamii wanaipenda CCM sio Chadema na hakuna a;liyelalamikia Clouds wala Makonda na Chadema Ukawa!!

Le Mutuz
 
Mbona huyu Kusaga haelewiki kama CHURA hajulikani amesimama au amekaa!
PowerBreakfast walishasema hawatosoma tena habari za UKAWA kwakuwa wanahamasisha Vurugu kwahiyo tukiendelea kusoma tutawapa Kik

Na wasisome tu hakuna kinachopungua na wanaUKAWA wamelikalia kimya hilo but still wamiliki wa media hiyo wanaona kuwa wanaadhibika na kujitokeza kujikoshakosha. Msiba wa kujitakia hauna kilio, wakaushe tu.
 
Kwa wale wanaomfahamu kusaga tangu ujana wake wanafahamu fika ni mtu wa namna gani na ukweli usiyo fichika ni kuwa kituo chake cha radio/tv kinazidi kuongeza wasilikizaji/waangaliaji na hivyo kuwa tishio kwa baadhi ya vituo vingine.
CCM inakituo chake cha radio na hata hicho kimekuwa na mvuto fulani hasa kwa wakazi wa dar kutokana na vipindi vyake. Wakati huu soko ndiyo linaamua vitu gani vyende hewani na vituo visivyoendana na hali hiyo vitaendelea kulalamika tuu.

...lakini haiondoi ukweli kuwa Clouds inatumika na CCM, dhana hii inakwenda sambamba na kuharibu vijana kwa kuwaletea mambo ya ujingaujinga ili kuhamisha mijadala muhimu, atention ya vijana ihamishe akili zao waendelee kujadili upuuzi wa Wema na Diamond waache kujadili mambo yenye tija kama Katiba mpya na kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura! Ushahidi wa kimazingira unachagizwa na redio hiyo kusifiwa na watawala wa CCM wakiongozwa na Mwenyekiti wao! Ova
 
- Hakuna jamiii zaidi ya Chadema, lets say wewe mwili wako ni mdogo sasa unashandwaje kuona kwamba hata kama Clouds ingekuwa Raido yenu bado hamuwezi kushinda uchaguzi wewe umetumwa na Chadema kuichafua Clouds kwa sababu mnadhani mnashindwa uchaguzi kwa sababu ya Clouds akili ndogo ndani ya Mwili wako mdogo mjinga wewe nyamza tu unatia huzuni hapa wacha Clouds wafanye kazi zao za utangazaji na nyie endeleeni kuwa wapinzani ila msipangie Radio nini cha kufanya poleni sana!!, jamii wanaipenda CCM sio Chadema na hakuna a;liyelalamikia Clouds wala Makonda na Chadema Ukawa!!

Le Mutuz

Let me shut my mouth to allow ppl note the difference!
 
Nasimama Na Ukweli Wangu Ule Ule Na Siubadilishi Na Isitoshe Nimeshawapa ULTIMATUM Watu Watatu Hapo Mjengoni Kwao Waniombe Radhi Kwa Njia Zile Zile Walizotumia Kunitafuta Na Kunipa Hizi Taarifa Za Ndani Na Nyeti Na Hivi Ninavyandika Hapa Tayari Mmoja Wao Ameniomba Kukutana Na Mimi Makumbusho Ambako Nipo Kwa Sasa Navuta Huo UNGA Ambao Joseph Kusaga Kanituhumu Kuwa Nautumia. Naombeni Rukhsa Yenu Nikamsikilize Anataka Kuniambia Nini Na Nitawajuzeni Kinachojiri Na Sasa Wamebaki Hao Wawili Hivyo Kazi Kwao Na Labda Tu NITUMIE FURSA HII KUWAPA POLE WAMILIKI Wa JF Na WAFANYAKAZI Wake Wote Wakiwemo Moderators Na Wengineo Kwa Kutuhumiwa Vibaya Na Kwa Usumbufu Wote Walioupata Na Uliojitokeza Kwao ILA MIMI KAMA GENTAMYCINE NINA UHAKIKA NA NILICHOKILETA HAPA JAMVINI Na Labda Niseme Tu Kuna MENGINEYO PIA Sijayasema Humu Hivyo WASIJE WAKAZANI Nimekurupuka au Nimewaletea Matatizo Bali Wajue Kuwa NINA UHAKIKA NA NILICHOKIANDIKA Na Ndiyo Maana Sasa Hivi Huyu Mmoja Wao Anahaha Kuonana Na Mimi....Na Kuna Siku MTANIKUBALI Tu. Sasa Kaka Kusaga Popote Ulipo Kama Leo Asubuhi Umekanusha Na Hadi Kunikashifu Na Kuikashifu JF Huyu Mfanyakazi Wako Anahangaika Nini Kunilazimisha Nikaonane Nae Tena Huku Akiwa Tayari Hata Kunikodia USAFIRI Lakini Kwa Jeuri Ya UMASIKINI Wangu Nimemwambia Nakwenda Tu Na Public Shuttle Hivyo Asipate Shida Sana Juu Yangu.

Kwa jinsi siasa na matukio yanavyoendeshwa Tanzania nachelea kusema Habari yako nitaendelea kuichukulia kama tetesi.

Maana nchi hii vinaripotiwa hadharani ni tofauti na hali halisi.
 
MKUU GENTAMYCINE, NENDA KAONANE NAYE LAKINI USIWE PEKEYAKO, AMBATANA NA MTU MWINGINE. HII BONGO HAIAMINIKI KABISA! Ni ka-ushauri kangu hako!

Kaka Nimefunzwa Na Nimefundika Na Hata Hapo Aliponiambia Yupo Tayari Nimeshatuma Sweepers Wangu Na Wananipa Kila Kinachojiri. Tangia Lini Mtoto Wa Shujaa Na Mlinzi Wa Taifa Akawa Boya? Nyoka Huzaa Nyoka Tena Anayezaliwa Huwa Ni Mkali Na Mjanja Kuliko Aliyemzaa! Sasa Wanatapatapa Mkuu Na Wa Pili Ambaye Ni Mwanamke Nae Kanipigia Simu Lakini Sijampokelea Kwakuwa Nimeshatonywa Na Mtu Aliyepo Karibu Nae Kuwa Anataka Kufanya Nini. Hapa Kwa GENTAMYCINE Wataisoma Namba Na Wajipange KIKWELI KWELI Na Kilichoniudhi Na Kuniuma Ni Wao Kuikashifu JF. Asante Lakini Mkuu Kwa Ushauri Wako Na Nimeupokea Kwa Mikono Miwili Na Nimepata PM Nyingi Tu Zikinionya Na Kunihusia Kuwa Nichukue Tahadhari. Msiwe Na Hofu Hawana Ubavu Wa Kuchagama Na Mimi Ki Mbinu Na Naomba Pia Nitumie Fursa Hii Kumsihi Huyo Mwanamke Anayesumbuka Kunipigia Simu Kuwa Aache Vinginevyo Nitainukuu Humu SMS Na Namba Yake Nimuaibishe au Unadhani Namba Ya Joe Sina? Nikuumbue Na Nimfowadie Hii SMS Yako Akufukuze Kazi Hapo Mjengoni Sasa Hivi? Bora Mngenikashifu Mimi Kama Mimi Kuliko Kuikashifu JF.
 
Let me shut my mouth to allow ppl note the difference!

- Mpuuzi Clouds wana haki ya kufanya kazi yao ya Radio hata nyinyi Chadema mnatekeleza sera za CCM Wabunge wenu wanatekeleza sera za CCM sasa toka lini mmeanza kuamulia Radio nini cha kufanya nyamaza cause huna akili sawa sawa!!

Le Mutuz
 
- Sina hiyo shida wewe endelea kusihi nyumba ya Balali huko uliko!! hahahaha unaamini mimi nina shida ya kwenda kuwa DC wa Mafinga? hahahaha wewe Mbona Butiku hakukupa? hahaha

Le Mutuz

Mkuu wa wilaya ya Mafinga ni huyu Mboni Mhita
 

Attachments

  • 1424427004426.jpg
    1424427004426.jpg
    20 KB · Views: 240
toleo la MAWIO la jana,limeripoti kikamilifu clouds kutumika na CCM kisiasa na kipropaganda!!

clouds fm wameshiriki kuandaa na kuomba zaidi ya 2.5 bln kutoka Ikulu kwa ajili ya propaganda ya kuhimiza kura ya ndio ya kura ya katiba ya CCM,mchanganuo huo umeandikwa na RUGE MUTAHABA ukihusisha pia wanamziki wa clouds kwa wingi walio chini ya THT!!!

Kusaga wala RUGE hawawezi kukili waziwazi ila watambuzi wa mambo wanajua na wao pia unafiki wao wanaujua,wao kwao ni pesa tu kwanza!!!!

Amesema clouds haijauzwa hilo nalo unabisha? Maana kuna mtu alijiapia humu na matusi meeengi kuwa imeuzwa
 
clauds wanafiki wanaomba hisani ,wametumika na ccm ili wapate coverage kubwa nchi nzima kama redio ya taifa hawa wajanya wamjini wananchi wanawaelewa wako imbalance na biases wanatumika kusambaza propaganda chafu dhidi ya upinzani
 
Kulikua na uzushi siku mbili tatu zilizopita kuwa clouds Fm imeuzwa kwa Rostam Aziz na mtoa mada aliandika akiwa na uhakika sana kwamba ameambiwa na mtu wa karibu na clouds, Leo the big boss CEO wa clouds Bwana Joseph Kusaga amekanusha na kusema kuwa ni uzushi wa watu either wanaokaa bila kazi au watumiaji wa madawa ya kulevya au wapinzani wake wa kibiashara ndio wanaosambaza uzushi

MY TAKE: Yule jamaa aliyesema amepata taarifa za ukweli sasa sijui ametoa wapi, anaweza akawa yuko Right but in the wrong position

Inawezekana alikuwa mvuta bange yule stimu zilikuwa zinamzingua we si uliona majibu yake matusi mtindo mmoja
 
Back
Top Bottom