Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,841
- 5,064
Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako:
1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule.
2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene mto.
3️⃣Kagua chooni ili kujua kama maji yanatoka pia angalia usafi na vifaa vya kutumia hasa miswaki pia funua choo cha kukaa usije kuta kichanga kimetupwa. 😂
4️⃣Hakiki madirisha na mapazia kwa usalama
asijekua kajificha mtu au kitu chochote kisichotakiwa kimefichwa au dirisha lipo wazi au limetolewa “Grill” usiku ukaibiwa kilaini na vibaka.
5️⃣Mtumie “SMS” mtu wako wa karibu
❗️Mahali ulipo
❗️Guest uliyopo
❗️Chumba ulicholala na
❗️Unalala pekee yako ama uko na mtu kwingine
6️⃣Kama ukitaka kulala, weka simu kwenye “Audio record”, iache mpaka utakapoamka asubuhi kama Simu Ina “Enouph Space”.
7️⃣Funga mlango na usiondoe ufunguo kwenye kitasa kama unalala peke yako ila ukiwa na mtu “Stranger” funga mlango funguo ifiche itakuokoa na dhumuni baya la mgeni wako!
8️⃣ Ukiwa na Kiwango kikubwa cha pesa “CASH” weka kwene simu/bank kama na uko financially enouph“ lipia vyumba viwili kimoja weka mizigo kingine lala na huyo “stranger” wako.
9️⃣Wakati wa Kuingia Unapokagua muhudumu ashuhudie ukaguzi wako lakini pia Asubuhi kabla ya kuondoka hakikisha mhudumu amekagua chumba chako, kuanzia uvunguni, chooni na vifaa vyake.
🔟 Katika Kitabu Cha Wageni Andika “Particulars” zako kwa usahihi kwa usalama wako likitokea tatizo.
1️⃣1️⃣ Kagua “Draws” za makabati, Meza na TV na “dust bin” pia simu weka Uvunguni ulalapo
1️⃣2️⃣ Ulalapo na “Stranger” hakikisha unamjua jina moja wapo na anapotokea ikiwezekana na usiache kinywaji kilichofunguliwa uendapo bafuni/chooni na kuwa “paranoid” ku suspect everything happening!🤔
NB: Pendekezo tembea na
👉🏻Taulo yako!
👉🏻Kikoi chako/Shuka
👉🏻Sabuni yako sio Vi-“Eva” au Magadi 😂😂
👉🏻Mswaki na Dawa yako!
#sweetpain