Kuolewa kuna raha zake!

...lol...mambo yenyewe kila siku kutishana hapa. Samawati anaelezea uzuri wa ndoa mnampinga ati kwakuwa ndoa yake changa...sasa nishike lipi niache lipi?

Kama ni kijana wa kike basi ukipanga kutolewa basi ni uamuzi wako na kijana wa kiume hivyo hivyo. Ndoa ni wajibu wa kila mwanadamu aliyekamilika. Kuepuka kuoa au kuolewa ni kukimbia wajibu. Hakuna sababu ya kuwatisha wengine. Pengine ni busara kuwashauri.

Nimezipenda na zimenivutia posts za Samawati hata kama ndoa yake ni changa lkn ndivyo inavyopaswa ndoa kuwa. Maisha ya ndoa kama huyafurahii basi una tatizo kubwa maana kilichobaki ni kurudi kwa wazazi wako ili waendelee kukutunza kama awali. Aibu hiyo!!! Samawati mheshimu sana mume wako vizuri, uwapende sana ndugu zake na uwathamini. Ataongeza pendo kwako mara dufu. Anapokuwa amechoka umhudumie kwa adabu, kwa vyo vyote mume mwenye heshima atakuheshimu sana. Hata kama anakudharau, mwache maana kila mwomba Mungu, humsaidia na atabadilika.

Ndoa ni kama shilingi ina nyuso 2; Hakuna sababu ya kusema ni ndoano, hapo ujue kama ni mume au mke wameshaanza kumendea wa nje. Zaidi ni tamaa tu.

Karibuni sana kwenye maisha ya ndoa. Ni maisha mazuri mnapoheshimiana kuthaminiana, Jukumu ni lako kuishi maisha ya ndoa kama upo jela vile au uifurahie kama vile ndio mmeoana.

Safi sana Samawati. Maisha mema na tuziombee heri ndoa zetu.

Raha kubwa ya kuolewa ni ile ya "self service" muda wowote upendao bila kubughudhiwa

Mbu simvuti mtu bana wartavutika wenyewe na wataingia tuu kwani kuna haja ya kupiga kelele. Huyo eiyer mwenyewe ngoja muda wake ufike atajileta mwenyewe

Mbu simvuti mtu bana wartavutika wenyewe na wataingia tuu kwani kuna haja ya kupiga kelele. Huyo eiyer mwenyewe ngoja muda wake ufike atajileta mwenyewe

Mwanamke ninaemtaka mimi hayupo duniani,so dont bother!

Eiyer keep on waiting for the beautiful one to be born. And in this world of miracle anything can happen

Eiyer keep on waiting for the beautiful one to be born. And in this world of miracle anything can happen

Too bad,i dont belive in miracle,and beside that beatiful ladies does not exist now days!

Last edited by a moderator:

Too bad,i dont belive in miracle,and beside that beatiful ladies does not exist now days!

I don't believe in miracle either but to you I think u need more than miracle to prove your theory

I don't believe in miracle either but to you I think u need more than miracle to prove your theory

What i belive isn't theory is reality!Now u got it!

Ndoa ina raha yake mwanzoni ila baadae ni kama unaishi na kaka/dada yako,but no way raha ya ngoma ni uingie na uicheze!!Sie tupo miaka kibao
kama ni chloroquine tushameza na pipi tushakula pia.

Dahhhh
Kwa maelezo yako
Ni kama umewahi kuingia
Au upo kwenye ndoa...

Nway
Umenikimbusha..
Comedy fulani ya Chris Rock......
........ nzuri sana .........
Yes, I am a ndoa premium member. teh teh!!

Ndoa ina raha yake mwanzoni ila baadae ni kama unaishi na kaka/dada yako,but no way raha ya ngoma ni uingie na uicheze!!Sie tupo miaka kibao
kama ni chloroquine tushameza na pipi tushakula pia.

Mbona mnapenda sana kututisha sisi ambao bado hatujaoa?

stick on these says.
1. by all means marry, if you get a good wife, you'll be happy. If you get a bad one, you'll become a Philosopher. by ( socretes)
2. Woman inspires us to great things, and prevents us from achieving them. by Alexandre Dumas
3. Be happy with a man, you must undurstan him a lot and love him a little. To be happy with a woman, you must love her a lot and not try to understand her at all.

Jama hata mtishie vipi mie kwangu kuoa ni kama ilivo kifo ambacho ni lazima kimkute mwanadam! Na Mungu alinipa accesories zoote ya kutimiza hilo!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…