IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,462
- 7,381
Wenzio tuna mipango ya kuacha wewe unakuja na story za kudanganya watu Mkuu IGWE wala usijaribu kutia pua utajitafutia balaa bure.
umeona eeeeeeee!.....mr rocky njoo huku,........ujionee
Wenzio tuna mipango ya kuacha wewe unakuja na story za kudanganya watu Mkuu IGWE wala usijaribu kutia pua utajitafutia balaa bure.

mkuu hakuna kituy ambacho ni static na huwezi ukasema kuna mtu perfect hata mmoja yaani mtaoana muwe kama malaika. Ni namna utakavyoiweka na kuitengeneza ndoa yako mkimuomba na mungu atangulie. Haya yanayotokea kati yenu ni mapito tuu mnatakiwa kupambana nayo myashinde.
Hayajaanza kumkuta sio.Aliolewa juzi utamjua tu lol

kaka ninae,...anaonekana yuko poa lakn ngoja kidogo mkuu,..si umeona watu humu ndani wanavyoleta matatizo kila kukicha_wengine wakuja kuambiwa hawapendwi baada ya kupita miaka 5,.....uuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuuuuuuuuf
halafu Igwe wewe mara unaogopa kupapaswa mara unaogopa ndoa......... hiyo miaka 5 utakuwa umepata raha.........we ingia humo yakianza unakuja huku kuomba maushauri

actually kuoa au kuolewa ni better.....

But kusema ni raha zaidi,that depends......

halafu si umeona,nikambiwa ntaachwa eti sababu sipendi kupapaswa,....sasa nikioa halafu nikaachwa si ndio msala sasa_maake imani/dini zetu wengine haziruhusu kuachana baada ya ndoa,....aaaaaaaaaaaah!..mm bado nipo nipo sana my lovely sister
kuolewa raha ndio maana watu wanalalamika lakini wamo tu hawatoki! Kuna maisha yaso na mikwaruzano??? Mimi toka mdogo nimekwaruzana na ndugu zangu nilozaliwa nao tumbo moja wengine mpaka tushatwangana mangumi; kitu ambacho mume wangu hajawahi na sidhani kama atakuja kufanya.
Kuolewa raha jamani! Kunapunguza upweke. Embu nambie rafikizo, au nduguzo wote wakiwa na wenza wao wewe bado huko single uoni kuwa unakuwa una bore watu kutaka wawe close na wewe wakati wako na wapenzi wao. Mfano mimi mdogo wangu tulikuwa so close kabla hatujaolewa; sasa hivi hana time na mimi anakata wiki hata hajanipigia simu. Ila na mimi wala sijali kwani niko busy na wangu. Sasa nambie ningekuwa single ni upweke kiasi gani???
What i enjoy most kwenye ndoa ni company. Ila siri ni kuolewa na mtu unayempenda crazly si juu juu maana hapo lazima ndoa itakuwa ndoano.
halafu si umeona,nikambiwa ntaachwa eti sababu sipendi kupapaswa,....sasa nikioa halafu nikaachwa si ndio msala sasa_maake imani/dini zetu wengine haziruhusu kuachana baada ya ndoa,....aaaaaaaaaaaah!..mm bado nipo nipo sana my lovely sister

Mkuu hata ndoa yenyewe hujaingia ushaanza kuwaza kuachwa. We utakuwa senior bachelor full na itabidi siku ya kuoa unasign affidavit kabisa
Aliolewa juzi utamjua tu lol
dear broda......huna haja ya kuogopa namna hiyo...........jitose mtoni kaogelee ukiona unazama piga kelele utaokolewa bana......angalia usije acha watoto kila mtaa ukisema bado upo upo..............kumbuka hata glass zikiwekwa pamoja haziachi kugongana....na hivyo kwenye ndoa mikwaruzo hapa na pale yapo nikutafuta namna ya kutatua......hofu ondoa
Wako watu wanaosema ndoa ndoano
kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda.
Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa!
Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali.
Raha zako ni halali! Huhukumiwi na mtu yeyote tena.
Pia unapokuwa na mume una uhakika wa ulinzi kwa maana una pa kukimbilia.
Hakuna mtu atakutishia kwa lolote. Una uhakika wa kupata msaada wakati wowote.
Ukiwa na mume unaweza kujijaribia mambo mengi kama huyo mume ni mtu mwenye
uelewa na mwenyewe msaada. Waweza kuondoka kazini ukaenda masomoni na ukajua
hutaishiwa au kupungukiwa.
faida ziko nyingi sana ............. kwa wanawake wenye kufurahia ndoa hebu nanyi elezeeni mnavyofurahia
ndoa zenu!
Waume zetu mpoooo??
na alieumizwa kwenye ndoa utamjua tuu!Aliolewa juzi utamjua tu lol