Ha ha haaaaaaa! Hiyo ndio taabu ya kutoficha nguo za ziada!
wewe mdhuri mama mdogo ,khaaaaa
umekumbuka kuweka iliki kwenye maji? :A S-heart-2: mafunzo ya unyago yanatumika lol
mdogo wako. Kongosho ndio mama. this is my last attempt before i summon enough courage to admit i prefer joysticks to the public
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..Tatizo lako Mwita Maranya - baba ZD unapenda kumwaga kuku wengi kwenye mtama...! Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..
cc Mwita Maranya
Uzuri anapenda kulowekewa, lol!
Limbwata nalo lina utamu wake atii!
Halafu baba ZD unajua nini? Nilikuficha weeeeeee kuwa nina kabinti kangu kanaitwa snowhite. Inabidi wewe na mwanetu Zion Daughter mumtambue kuanzia leo. Sitaki kesi wala nini!
Ha ha haaaaaa haaaaaaaaa! Kweli Mwita Maranya hapa hatuna mtoto! Siri zote anatoa live bila chenga! Tukishtakiwa na kufungwa sijui watalelewa na nani!
Mnh! angalia usilizidishe maana mwishowe anaweza kuwa taahira ikawa taabu, shaurilo!
Kumbe na wewe geologist. Hongera (hivi tulikubaliana wewe ni mdogo wangu ama mwanangu?)
Khaa!!! Yani ndo umeamua kumtenda baba yangu? Anyway kitanda hakizai haramu..Mimi nasubiri tamko la mdingi kuhusu kumpokea snowhite kweye familia ya fita ni fita lakn ajiandae kutahiriwa maana dady kwa mila ameshindikana..
cc Mwita Maranya
Mie naamini mwenyezi Mungu hakosei kwa alifanyalo. Binadamu (mwanaume na mwanamke) anapobalehe/kuvunja ungo pana nywele zinaota sehemu yake ya siri lakini utakutana na mdada kanyoa zote, sasa nini faida/hasara ya nywele hizo?​