yani kuna nyumba unatamani kuwa hata house boy kwa jinsi vyuma vilivyokaza...Huyo mke wake juzi kati gari yake imekwama kwenye matope Akashuka akatoa Pochi akalock gari akaliacha pale pale akarudi nyumbani...
Mume wake kurudi kuambiwa ALIMCHEKA MKE WAKE MPAKA kakaachini.. kesho yake asubuhi Gari ikaenda kusukumwa na vijana wa nne Wakaachiwa LAKI eti kuitoa tu pale,imagine!
Tanesco waliwahi kukata umeme kukawa na Mgao ule mtaaa...BABA alichukua watoto wake wote..dada wa kazi wa watoto Akaenda Hotelini kukaa na watoto wake mpaka umeme utakaporudishwa nyumbani..Unaambiwa ile nyumba bila A/C haikaliki.
Baba akirudi akisema washeni A/C mkamwambia umeme hamna...mtamuona huyoooo anabeba nguo anaaga anaenda hotelini Anawambia ukirudi umeme wenu mtaniita.
Akikaa huko siku mbili mfululizo umeme haujarudi siku ya tatu anarudikuchukua watoto wake na dada wa watoto anawapeleka hotelini....
Watu wanaishi hii TANZANIA etiii..tuacheni tu...nyumba matumizi ya umeme ni almost kila mwezi umeme wa LAKI 3 to 4...na wala haimsumbui mtu akili..wana amani BABA Ana amani,mama ana amani Raha full time