Kuna watu wana hela jamani!!

Kuna watu wana hela jamani!!

Watu wana hela bwana mi nikiskia watu wakilalamika MAISHA MAGUMU nawaangaliaga halafu sitii hata neno Nanyamaza kimya.

Kuna binti alikua hapa nyumbani kwangu muda tu alikua anatafuta kazi,basi siku moja rafiki angu akanambia ana rafiki ake anatafuta House girl,kwa kua yule bint alikuepo nikamwambia kuna kazi imepatikana ya u house girl nenda kafanye mshahara ni 150,000 Akashangaa sana kama nilivyoshangaa ila kesho yake akapaki vitu akapelekwa huko kwa boss wake.

Kaenda kwa hiyo nyumba ni appartment ya maana Ghorofa na ni wamepanga kuna baba,mama,watoto wao wa 3,house girl wa watoto 1,wa usafi 1 wa chakula 1 so huyu bint aloenda anaenda kuwa house girl wa 4.

Nje kuna house boy m1...Nyumba hiyo ni hatari hizi story alitusimulia huyo binti baada ya kwenda kufanya kazi huko kama mwezi then siku 1 akaambiwa aje atusalimie ndio katika kumuuliza vipi kazi huko ndo akawa anatupa hadithi.

Watoto wawili wote wamenunuliwa smartphone Samsung s6 edge plus za kuangalizia katuni na kuchezea game kila mmoja na yake...Huko ndani maji yanayonyweka ni K.njaro Tu.

Kula hamna ratiba ya pamoja...kila mtu anapikiwa chakula anachotaka SO unakuta mezani baba anataka wali,mama anataka pila,mtoto anataka Chips, mwingine anataka Kuku...vyakula vyote hivyo vitapikwa na vitaletwa mezani.

Soda zimejazwa stooo kama vile wana duka la vinywaji....

kipindi hiki cha mvua nyumba yao imekaa sehemu ambapo gari hazifiki vizuri so Wanachofanya asubuhi wakitoka BABA anatoka na gari Ya juu ya kupita rough road then anafika mbele kule anaipaki kwasababu imechafuka anachukua gari yake ingine NOAH ndio anaenda nayo kazini...akirudi anapaki noah Pale pale kisha anachukua Cruiser lake la juu likiwa lishaoshwa anarudi nalo home.

JMOS NA JPILI nyumbani hapapkwi kitu baba analeta Chakula misosi inayoletwa ni mara 100 wapike wao kina dada unaambiwa maana baba analeta vyakula kama kuna sherehe.

watoto watatu na kila mtoto na room yake hawalali pamoja...kila chumba cha mtoto kina flat ya ukubwa wa 55inch...

dada wakazi wote Hawalali pamoja kila dada wa kazi analala chumba chake peke ake.

Jinsi nilivyokua namsikiliza huyo dada akisimulia nilikua nahisi naangalia MOVIE ila haya maisha ya hivi watu wapo tena tuko nao hapa hapa TANZANIA mnayosema ni nchi maskini.
Mhh mkuu
Wa naishi wapi hivi?
Mi haya maisha bado nayaota
 
Kweli kuna watu wanaishi
yani kuna nyumba unatamani kuwa hata house boy kwa jinsi vyuma vilivyokaza...Huyo mke wake juzi kati gari yake imekwama kwenye matope Akashuka akatoa Pochi akalock gari akaliacha pale pale akarudi nyumbani...

Mume wake kurudi kuambiwa ALIMCHEKA MKE WAKE MPAKA kakaachini.. kesho yake asubuhi Gari ikaenda kusukumwa na vijana wa nne Wakaachiwa LAKI eti kuitoa tu pale,imagine!

Tanesco waliwahi kukata umeme kukawa na Mgao ule mtaaa...BABA alichukua watoto wake wote..dada wa kazi wa watoto Akaenda Hotelini kukaa na watoto wake mpaka umeme utakaporudishwa nyumbani..Unaambiwa ile nyumba bila A/C haikaliki.

Baba akirudi akisema washeni A/C mkamwambia umeme hamna...mtamuona huyoooo anabeba nguo anaaga anaenda hotelini Anawambia ukirudi umeme wenu mtaniita.

Akikaa huko siku mbili mfululizo umeme haujarudi siku ya tatu anarudikuchukua watoto wake na dada wa watoto anawapeleka hotelini....

Watu wanaishi hii TANZANIA etiii..tuacheni tu...nyumba matumizi ya umeme ni almost kila mwezi umeme wa LAKI 3 to 4...na wala haimsumbui mtu akili..wana amani BABA Ana amani,mama ana amani Raha full time
 
Ninachoamini kuna aina fulani ya maisha sitokuja kuishi kabisa kwa umri nilio nao sasa na haya maisha ninayoishi.

Halafu atatokea mtu ataniambia nisikate tamaa mkuu
Ndio.hakuna kukata tamaa
Unaweza hata ukayaishi ukiwa na miaka 70 au 80
 
Watu wana hela bwana mi nikiskia watu wakilalamika MAISHA MAGUMU nawaangaliaga halafu sitii hata neno Nanyamaza kimya.

Kuna binti alikua hapa nyumbani kwangu muda tu alikua anatafuta kazi,basi siku moja rafiki angu akanambia ana rafiki ake anatafuta House girl,kwa kua yule bint alikuepo nikamwambia kuna kazi imepatikana ya u house girl nenda kafanye mshahara ni 150,000 Akashangaa sana kama nilivyoshangaa ila kesho yake akapaki vitu akapelekwa huko kwa boss wake.

Kaenda kwa hiyo nyumba ni appartment ya maana Ghorofa na ni wamepanga kuna baba,mama,watoto wao wa 3,house girl wa watoto 1,wa usafi 1 wa chakula 1 so huyu bint aloenda anaenda kuwa house girl wa 4.

Nje kuna house boy m1...Nyumba hiyo ni hatari hizi story alitusimulia huyo binti baada ya kwenda kufanya kazi huko kama mwezi then siku 1 akaambiwa aje atusalimie ndio katika kumuuliza vipi kazi huko ndo akawa anatupa hadithi.

Watoto wawili wote wamenunuliwa smartphone Samsung s6 edge plus za kuangalizia katuni na kuchezea game kila mmoja na yake...Huko ndani maji yanayonyweka ni K.njaro Tu.

Kula hamna ratiba ya pamoja...kila mtu anapikiwa chakula anachotaka SO unakuta mezani baba anataka wali,mama anataka pila,mtoto anataka Chips, mwingine anataka Kuku...vyakula vyote hivyo vitapikwa na vitaletwa mezani.

Soda zimejazwa stooo kama vile wana duka la vinywaji....

kipindi hiki cha mvua nyumba yao imekaa sehemu ambapo gari hazifiki vizuri so Wanachofanya asubuhi wakitoka BABA anatoka na gari Ya juu ya kupita rough road then anafika mbele kule anaipaki kwasababu imechafuka anachukua gari yake ingine NOAH ndio anaenda nayo kazini...akirudi anapaki noah Pale pale kisha anachukua Cruiser lake la juu likiwa lishaoshwa anarudi nalo home.

JMOS NA JPILI nyumbani hapapkwi kitu baba analeta Chakula misosi inayoletwa ni mara 100 wapike wao kina dada unaambiwa maana baba analeta vyakula kama kuna sherehe.

watoto watatu na kila mtoto na room yake hawalali pamoja...kila chumba cha mtoto kina flat ya ukubwa wa 55inch...

dada wakazi wote Hawalali pamoja kila dada wa kazi analala chumba chake peke ake.

Jinsi nilivyokua namsikiliza huyo dada akisimulia nilikua nahisi naangalia MOVIE ila haya maisha ya hivi watu wapo tena tuko nao hapa hapa TANZANIA mnayosema ni nchi maskini.
Unasemaaa niiiniii, yaani hawa ukute na mbinguni wanaenda, ila mimi kabwela eti motoni, kisa nilipooza "ukame" kwa mwanaidi wakati si wife.

Nasema duniani si sawa, lakini usikute na mbingunu si sawa
 
yani kuna nyumba unatamani kuwa hata house boy kwa jinsi vyuma vilivyokaza...Huyo mke wake juzi kati gari yake imekwama kwenye matope Akashuka akatoa Pochi akalock gari akaliacha pale pale akarudi nyumbani...

Mume wake kurudi kuambiwa ALIMCHEKA MKE WAKE MPAKA kakaachini.. kesho yake asubuhi Gari ikaenda kusukumwa na vijana wa nne Wakaachiwa LAKI eti kuitoa tu pale,imagine!

Tanesco waliwahi kukata umeme kukawa na Mgao ule mtaaa...BABA alichukua watoto wake wote..dada wa kazi wa watoto Akaenda Hotelini kukaa na watoto wake mpaka umeme utakaporudishwa nyumbani..Unaambiwa ile nyumba bila A/C haikaliki.

Baba akirudi akisema washeni A/C mkamwambia umeme hamna...mtamuona huyoooo anabeba nguo anaaga anaenda hotelini Anawambia ukirudi umeme wenu mtaniita.

Akikaa huko siku mbili mfululizo umeme haujarudi siku ya tatu anarudikuchukua watoto wake na dada wa watoto anawapeleka hotelini....

Watu wanaishi hii TANZANIA etiii..tuacheni tu...nyumba matumizi ya umeme ni almost kila mwezi umeme wa LAKI 3 to 4...na wala haimsumbui mtu akili..wana amani BABA Ana amani,mama ana amani Raha full time
Hao labda ni wafanya biashara..kwa ajira huwezi ishi maisha hayo
 
300,000 kwa siku..yani unaamka asubuhi ukirudi kulaza kichwa laki tatu imetoka kwa mwenye mjengoo!
Walalahoi sie ni Kodi ya miezi sita geto la elfu hamsini. .tena tunawaza kodi ikiisha tutapata kweli?

Napiga mahesabu

300,000*30 days=9,000,000
Sasa Fanya kwa miezi 6
6*9,000,000=54,000,000! Kwa miezi sita!
Kweli kuna watu wanaishi!

View attachment 1104771View attachment 1104772View attachment 1104773View attachment 1104776View attachment 1104777View attachment 1104778
Laki 300,000 ni sawa na 300,000 * 100,000 =30000000000/= per day
 
Unasemaaa niiiniii, yaani hawa ukute na mbinguni wanaenda, ila mimi kabwela eti motoni, kisa nilipooza "ukame" kwa mwanaidi wakati si wife.

Nasema duniani si sawa, lakini usikute na mbingunu si sawa
kwa maisha ya huyu mshua mbinguni anaenda Unajua hamtesi mfanyakazi wake yeyote huko ndani wanakula BATA mwanzo mwisho...najaribugi kuwaza huyu mtu atakua anafanya kazi gani ila sielewi kabisa...Matajiri sikieni tu ila apo aseee tena DAR ina VIBOPA bana huu mkoa ni mwisho nimeunyooshea mikono
 
Ndio.hakuna kukata tamaa
Unaweza hata ukayaishi ukiwa na miaka 70 au 80
Maneno ya kujifariji haya ila huo ndio uhalisia kuna aina fulani ya maisha huwezi kuja kuishi ukizingatia na umri ulokuwa nao sasa na maisha ulokuwa nayo sasa. Huwezi kunambia na hakuna mfano wa hivyo duniani una miaka 40 sasa kodi ya laki 250000 kwa mwezi inakushinda na bado kazi unazofanya ni kibarua tu halafu unajipa moyo ipo siku utakuwa mfanya biashara level ya dangote na uishi life style inayoendana na level ya dangote..??? My dear sista toa hulo shuka kumekucha.
 
kwa maisha ya huyu mshua mbinguni anaenda Unajua hamtesi mfanyakazi wake yeyote huko ndani wanakula BATA mwanzo mwisho...najaribugi kuwaza huyu mtu atakua anafanya kazi gani ila sielewi kabisa...Matajiri sikieni tu ila apo aseee tena DAR ina VIBOPA bana huu mkoa ni mwisho nimeunyooshea mikono
Lakini usikute akakosa mbingu kwa sababu chanzo cha pesa ni "kichafu" mbele za Mungu.

Yaani kanuni ya kuingia mbinguni mpaka leo naona mauzauza
 
Back
Top Bottom