Kuna watu wana hela jamani!!

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,627
300,000 kwa siku..yani unaamka asubuhi ukirudi kulaza kichwa laki tatu imetoka kwa mwenye mjengoo!
Walalahoi sie ni Kodi ya miezi sita geto la elfu hamsini. .tena tunawaza kodi ikiisha tutapata kweli?

Napiga mahesabu

300,000*30 days=9,000,000
Sasa Fanya kwa miezi 6
6*9,000,000=54,000,000! Kwa miezi sita!
Kweli kuna watu wanaishi!
 
Sawa tupo watu wa vipato tofauti levo tofauti
Lakini kama mlalahoi hiyo hela nkiifikiria nawaza sana..mil 54 si tayari nna nyumba mbezi now!
Inauma mkuu
Mbona kawaida hizi ni maalumu kwaajili ya watu wa kutalii wanakuwa familia nzima au group la wana ndugu,humo ndani kila kitu wanakikuta wao wanaingia wanakaa siku wanazo taka wanasepa.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom