Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,555
- 2,647
Pole sana..
Usiamini watu humu, wengine ni wachawi wanaiba nyota 😆

Ulichokutana nacho ni somo kubwa kuhusu kuomba msaada mtandaoni. Kuna watu wenye nia njema, lakini pia wapo wanaotumia shida za wengine kama fursa ya kuwadanganya au kuwanyonya. Cha muhimu ni usalama kwanza—usiweke imani kwa mtu kwa sababu tu ameahidi msaada. Hakikisha taarifa, kazi au huduma unayopewa inathibitishwa kabla ya kwenda popote. Na kuhusu changamoto zako, usikate tamaa; hata kuwa dalali wa elfu kumi ni bora kuliko kukaa bila kutafuta njia ya halali. Pole kwa yote uliyopitia, na Mungu akufungulie mlango salama na wenye heshima. 🤝🏽Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye kituko.
Isitoshe sasa anachokufanyia anaongeza shida sijui anakutibu au anaongeza ugonjwa , ngoja uende kwenye maombi sasa eh unaletewa watu kama madaktari wa muhimbili, eti wanakuombea halafu unambiwa utoe nguo zote unatoa nguo zote halafu unaambiwa panda kwenye chumba cha giza unavaa nguo nyeupe ndefu wako watu wa 4 na watano ni mchungaji eti anakupima shida yako nini yaani kuanzia miguu mpaka kichwani eti akikugusa mahali popote usimzue weh nilikimbia .
Jingine kazi sasa hapa ndio balaa hivi kweli hawa watu humu mwenye jf tunaomba iwekwe kipimo cha kupimwa akili humu maana hawa watu asilimia kubwa wamesha maliza mwendo haiwezekani mtu anakuja pm nakuomba viambatanisho vyakazi na picha zako halafu hakuiti kazini anakutongoza tu .
Halafu ananza kujinadi nakusema anahela nyingi nakuonyesha miamala mpaka ya wanaume wenzake aliowasaidia yeye hakusaidi maana alikuita gesti hujaja . Huo ni ufala nani yupo tayari kulala na machizi na wanaonekana .
Baadae bhana kumbe anafugwa kama mbwa ndani hela sio zake.
Niza mkewe na ndio amempa achunge mali zake aloo nusu achike kwa kusikiwa kazi yake ni watoto wawatu anawatongoza .
Angekula mavi .
SAsa nikapata kazi ya part.time aloo tulikula kwa mama ntilie wote hapa arusha ila hiyo kazi sijaielewaga ilikuwa inahusikaga nanini .
Nilijaribu kujua nikaona ngoja nikae home tu nirudi kuwa dalali wa elfu kumi
Then wanakuja kuweka ushahidi kule KIMASIHARA 😂DA maua huwa hujifunzi tu?? Narudia tena humu JF hakuna wanaume wa kuwasaidia, sana wana watumia na kuwa dump.
Kaa kimasta.
Mshana Jr ndio alinipa nitafute chuma chakavu akauze anipe hela hata kama ni za reli sio yeye pekee kuna huyu sasa hujui kazi inahusika nanini nakwanini unaifanya yaani we acha tu kazi ipo nikakupata wewe ila nawewe sikuelewi
ok.🐒Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye kituko.
Isitoshe sasa anachokufanyia anaongeza shida sijui anakutibu au anaongeza ugonjwa , ngoja uende kwenye maombi sasa eh unaletewa watu kama madaktari wa muhimbili, eti wanakuombea halafu unambiwa utoe nguo zote unatoa nguo zote halafu unaambiwa panda kwenye chumba cha giza unavaa nguo nyeupe ndefu wako watu wa 4 na watano ni mchungaji eti anakupima shida yako nini yaani kuanzia miguu mpaka kichwani eti akikugusa mahali popote usimzue weh nilikimbia .
Jingine kazi sasa hapa ndio balaa hivi kweli hawa watu humu mwenye jf tunaomba iwekwe kipimo cha kupimwa akili humu maana hawa watu asilimia kubwa wamesha maliza mwendo haiwezekani mtu anakuja pm nakuomba viambatanisho vyakazi na picha zako halafu hakuiti kazini anakutongoza tu .
Halafu ananza kujinadi nakusema anahela nyingi nakuonyesha miamala mpaka ya wanaume wenzake aliowasaidia yeye hakusaidi maana alikuita gesti hujaja . Huo ni ufala nani yupo tayari kulala na machizi na wanaonekana .
Baadae bhana kumbe anafugwa kama mbwa ndani hela sio zake.
Niza mkewe na ndio amempa achunge mali zake aloo nusu achike kwa kusikiwa kazi yake ni watoto wawatu anawatongoza .
Angekula mavi .
SAsa nikapata kazi ya part.time aloo tulikula kwa mama ntilie wote hapa arusha ila hiyo kazi sijaielewaga ilikuwa inahusikaga nanini .
Nilijaribu kujua nikaona ngoja nikae home tu nirudi kuwa dalali wa elfu kumi
Hivi kila mtu akitaka msaada JF patakalika kweli?Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye kituko.
Isitoshe sasa anachokufanyia anaongeza shida sijui anakutibu au anaongeza ugonjwa , ngoja uende kwenye maombi sasa eh unaletewa watu kama madaktari wa muhimbili, eti wanakuombea halafu unambiwa utoe nguo zote unatoa nguo zote halafu unaambiwa panda kwenye chumba cha giza unavaa nguo nyeupe ndefu wako watu wa 4 na watano ni mchungaji eti anakupima shida yako nini yaani kuanzia miguu mpaka kichwani eti akikugusa mahali popote usimzue weh nilikimbia .
Jingine kazi sasa hapa ndio balaa hivi kweli hawa watu humu mwenye jf tunaomba iwekwe kipimo cha kupimwa akili humu maana hawa watu asilimia kubwa wamesha maliza mwendo haiwezekani mtu anakuja pm nakuomba viambatanisho vyakazi na picha zako halafu hakuiti kazini anakutongoza tu .
Halafu ananza kujinadi nakusema anahela nyingi nakuonyesha miamala mpaka ya wanaume wenzake aliowasaidia yeye hakusaidi maana alikuita gesti hujaja . Huo ni ufala nani yupo tayari kulala na machizi na wanaonekana .
Baadae bhana kumbe anafugwa kama mbwa ndani hela sio zake.
Niza mkewe na ndio amempa achunge mali zake aloo nusu achike kwa kusikiwa kazi yake ni watoto wawatu anawatongoza .
Angekula mavi .
SAsa nikapata kazi ya part.time aloo tulikula kwa mama ntilie wote hapa arusha ila hiyo kazi sijaielewaga ilikuwa inahusikaga nanini .
Nilijaribu kujua nikaona ngoja nikae home tu nirudi kuwa dalali wa elfu kumi
Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye kituko.
Isitoshe sasa anachokufanyia anaongeza shida sijui anakutibu au anaongeza ugonjwa , ngoja uende kwenye maombi sasa eh unaletewa watu kama madaktari wa muhimbili, eti wanakuombea halafu unambiwa utoe nguo zote unatoa nguo zote halafu unaambiwa panda kwenye chumba cha giza unavaa nguo nyeupe ndefu wako watu wa 4 na watano ni mchungaji eti anakupima shida yako nini yaani kuanzia miguu mpaka kichwani eti akikugusa mahali popote usimzue weh nilikimbia .
Jingine kazi sasa hapa ndio balaa hivi kweli hawa watu humu mwenye jf tunaomba iwekwe kipimo cha kupimwa akili humu maana hawa watu asilimia kubwa wamesha maliza mwendo haiwezekani mtu anakuja pm nakuomba viambatanisho vyakazi na picha zako halafu hakuiti kazini anakutongoza tu .
Halafu ananza kujinadi nakusema anahela nyingi nakuonyesha miamala mpaka ya wanaume wenzake aliowasaidia yeye hakusaidi maana alikuita gesti hujaja . Huo ni ufala nani yupo tayari kulala na machizi na wanaonekana .
Baadae bhana kumbe anafugwa kama mbwa ndani hela sio zake.
Niza mkewe na ndio amempa achunge mali zake aloo nusu achike kwa kusikiwa kazi yake ni watoto wawatu anawatongoza .
Angekula mavi .
SAsa nikapata kazi ya part.time aloo tulikula kwa mama ntilie wote hapa arusha ila hiyo kazi sijaielewaga ilikuwa inahusikaga nanini .
Nilijaribu kujua nikaona ngoja nikae home tu nirudi kuwa dalali wa elfu kumi
Hapo sasa, 😂😂😂Then wanakuja kuweka ushahidi kule KIMASIHARA 😂
Udalali ni kazi- Hii ni changamoto, subiri kwanza.
Yaani:
Kisha uanaamua kuacha kazi ambayo hujaielewaga inahusikaga nanini
- Unaomba kazi ambapo hujaielewaga inahusikaga nanini
- Unapata kazi ambayo hujaielewaga inahusikaga nanini
- Unafanyakazi ambayo hujaielewaga inahusikaga nanini
==
AUDIO: Kazi usiyoijua
View attachment 3671935
Re-Mastered: Kazi usiyoijua
View attachment 3671947