mtoto mdogo sana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 460
- 1,337
- Thread starter
- #21
Naamini. Najitahidi kupitia kila herufi ya reply yako. Naona unaelewa vema mambo kama haya. Shukran sana nitafuata ushauri wako. Kuhusu meditation, nimeshawahi kufuatilia ila nikabaki na mawazo kuwa Mm maisha yangu kwa kiasi kikubwa ni kama na meditate. huwa muda mwingi nakaa peke yangu mazingira yaliyotulia, Pengine sijafahamu namna ya ku meditateI think you are being paranoid. Hamna mtu anakuwazia vibaya bali your brain is playing tricks on you. Always assume positive intent until proven otherwise.
Unapenda kusoma? Mark Manson ana kitabu kinaitwa "The Subtle Art of Not Giving a Fvck" kitakusaidia lakini pia kama unaweza kufanya Meditation itakusaidia pia kuondoka na hiyo Social anxiety disorder.
Look, life is too short to be weighed down by this stuff.