ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,375
- 28,484
Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah.
Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani"
Ni umri ambao sio tena wa kujiuliza kuhusu ndoa, ni uwe umeshaamua kuwa hautaoa kabisa au tayari una mtu una engagement nae au umeshaoa.