ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Leseni ni kama kadi tuu.
Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa.
Haya mambo mtu anajifunza...
Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu
Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo...
Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah.
Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani"
Ni umri ambao...
MIMI : Nikuulize jambo, askofu?
ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba
😀.
MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani
aliyemdanganya Mtu pale
bustanini?
ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya
mwanadamu. Mungu...
PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.
Vigezo &...
Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi
Wamepewa bunduki mpyaaaaaa
Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo waliovaa ni mavazi tu usitegemee binadamu mwenzio akupambanie fellas
Wale ni wauwaji na wamepewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.