Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Kila anayehoji ulaghai huo anapachikwa jina la "msaliti".

hayakuhusu....Mapandikiz yote mliyoyopanga tutayakatilia mbali......!
shonza na mampamba mliwatetea hivo hivo..Leo wako wap?
njaa na madaraka ni maji na mafuta!
 
Anaechangia against uzi huu namuonea huruma maana umeandaliwa kwa mkakati maalumu na watu ambao amejiandaa kupiga nyundo kwa yeyote atakayekuja na hoja tofauti, Watu wapo kazini. Na hawatalala.
 
Hivi Chadema mnakiendesha chama kwa misingi ipi.

Nyie wenyewe mnasema chama chenu ni cha demokrasia, akitokea mtu kuhoji mwendendo wa matumizi ya ruzuku mnasema ni msaliti.f

Mbowe kama anaungwa mkono wanachama watu wengi mbona amechakachua katiba ya chama kuhusu uchaguzi. Kwa mujibu wa Mkulima.

Hili la katiba limeshajibiwa na Dr.Slaa labda tatizo liwe hilo la uenyekiti wa chama!

Mimi nawshauri CHADEMA kila mtu agombee hata kama Mbowe anapenda agombee ila tu ashindanishwe na wengine kidemokrasia na atakaeshinda basi awe mwenyekiti.

Hapo tutakuwa tumekata mzizi wa fitina.
 
Ni katika kudadisi tu, hivi pamoja na sheria kali dunia kuhusiana na masuala ya udhibiti wa fedha haramu mtu anaweza kuingiza kiasi hicho cha fedha ujeremani bila kuulizwa?
.
Majina hapa yametajwa mpaka la rais lakini bwana xxxxxxx hatajwi mmmh???
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema chama hicho hivi sasa kinakumbana na viongozi wasaliti wasiojua wajibu wao wa kulikomboa Taifa.

Akihutubia kongamano la wadau na viongozi wa Kanda ya Kaskazini kiongozi huyo amesema sababu kubwa ya usaliti huo ni uroho wa madaraka kwa baadhi ya watu.

Mwenyekiti huyo anayeongoza chama kikuu cha upinzani nchini amesema kwa sasa chama hicho hakitavumilia viongozi wasaliti na badala yake watakuwa wanaelezana ukweli na kuchukua hatua stahiki kila inapobidi.

Kauli hii ya Mbowe itakuwa msumari wa moto kwa baadhi ya viongozi wanafiki na wanaotumika kutaka kuvuruga chama hicho.

Mbowe ni kiongozi ambaye anaungwa mkono na idadi kubwa ya wafuasi wa CHADEMA kote nchini kutokana na kazi kubwa anayofanya kuimarisha chama hicho kiasi ambacho Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete akiwahutubia watendaji wa CCM hapo jana amehofia chama chake kuondolewa madarakani kupitia sanduku la kura mwaka 2015.

Source:ITV Habari

Cha msingi na yeye atambue taasisi anayoiongoza imekuwa sana kwa sasa. Ina viongozi wengi wenye mawazo tofauti lakini vision ni moja. Hao wenye mawazo tofauti wasikilizwe bila kuonekana ni wasaliti
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.

Kila anayehoji ulaghai huo anapachikwa jina la "msaliti".

wewe ni gamba,huna uhalali wowote wa kuongelea cdm.maneno yako peleka lumumba.OVA
 
Ni kweli,mbowe ni jembe.nipo likizo home magu kila kona cdm ndo habari ya mujini na vijijini na ukiwauliza kuhusu wasaliti wanasema wafukuzwe tu sisi tunaiamini cdm na uongoz uliopo.
 
Hili la katiba limeshajibiwa na Dr.Slaa labda tatizo liwe hilo la uenyekiti wa chama!

Mimi nawshauri CHADEMA kila mtu agombee hata kama Mbowe anapenda agombee ila tu ashindanishwe na wengine kidemokrasia na atakaeshinda basi awe mwenyekiti.

Hapo tutakuwa tumekata mzizi wa fitina.

Unaongelea uenyekiti wakati hata uchaguzi bado? anyway endelea kupiga ramli
 
chiaguzi za ngazi tofauti katika chama zapaswa kufanyika,sanduku la kula litaamua nani anahitajika katika ngazi mbalimbali chamani,haiwekani mtu anashikilia nafasi miaka 10 no uchaguzi hii sio democrasia,chama cha siasa ni chama cha watu na sio cha ukoo au familia furani,ukifanyika uchaguzi hao wanaotwa wasaliti watatoweka.
uko sahihi mkuu, lakini mbona uchaguzi kikatiba bado? Si mpaka mwakani?
 
Mkuu,

Kuna familia imewekeza pesa zake nyingi kuendesha shughuli za chama hiki. Ukiwaambia waachie uongozi utakuwa unatafuta ugomvi nao.

Chama cha wote kinajulikana.

Chama cha wote kipi, acha upimbi we @zemarcapolo, Riz one, mwanaasha, mama salma wanatafuna nchi kwaa mgongo wa babariz au unadhani tumefumba macho tunajua kinachoendelea, pole coz hujitambui na nyie used as misukule miojua hata kiu inakatwa na maji nyambafu!
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA Kuitoa CCM madarakani ni ndoto chini ya huyu mtu.Hapendi kabisa kukosolewa au kuulizwa jambo lolote linalohusiana na fedha au uvunjaji wa kanuni na katiba ya Chama.CHADEMA nilitaka sana uchukue utawala wa hii Nchi lakini naona hilo halitawezekana tena.I will have to think of my political position again,I will become an Independent I guess.
so where are you going to vote?
 
Aksante papaa kachanchabuseta,
nashauri ule waraka wenye mawasiliano kati ya zito na yale masisiemu uchapishwe kt magazeti ya kesho pia mitandao yote ili watanzania wengi wamfahamu kiundani uyu chui zzk alojivika ngozi ya kondoo ajue katu hatutadanganyika nae any more
vipi shibuda?
 
Back
Top Bottom