Kuna uwezekano mkubwa Wakenya wanatamani utokee muungano kati ya Kenya na Tanzania ila wanashindwa kusema

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,356
5,871
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania.

Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania.

Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.

Screenshot_20230214-170855.jpg
top.jpg
 
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania.

Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa sehemu ya Tanzania.

Je, muungano wa Kenya na Tanzania ni jambo linalowezekana? Wacha muda uongee.

View attachment 2524803View attachment 2524805
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣
 
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza.
Can't you see the relation ?

If the theory is correct, Tanzania will be the only country surrounded by the Indian ocean on its southern, eastern and western border which makes it extremely vital economically / militarily.

I will not be surprised if any nation from East Africa will be attracted to unite with Tanzania and form a dominant juggernaut
 
'Kenyans wanting' is the keyword son.
 
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣
Inaitwa lugha gongana budaboss. Hii ndio ile sampuli ya watu ambao huwa wananunua magazeti kadhaa, kwa mpigo, ili watizame tizame picha. Yaani kama 'alupamu'. 😄
 
Don't they ?
Aaah wapi, Mwalimu Nyerere mwenyewe alikuwa na ndoto za mchana kama hizo. Hadi alikuwa tayari kukubali mkoloni aendelee kuitawala Tanganyika. Wakati wakenya walikuwa wakimwaga damu wakipigana uhuru wa nchi yao.

Eti ndio tupate uhuru kwa pamoja tukiwa tumeungana kama nchi moja. Ila Mzee Jomo akakataa na ndio chanzo cha bifu kati ya Kenya na Tz, ambayo imedumu hadi enzi hizi.

Mzee Jomo alifanya jambo la busara sana. Sasa hivi tungekuwa sote tupo kwenye kikapu kimoja, tukiendeleza ujamaa maandazi na kugeuzwa kuwa maiti(kama alivyosema Jomo Kenyatta, enzi hizo, kuhusu watanganyika).
 
How is natural movement of tectonic plates go to do with Kenyans wanting to join with Tanzania? Alafu tukimwaambia masomo yenu ni ovyo mnaona tunawachokoza. 🤣 🤣

Wishful thinking, so you think another phenomena of continental drift is in the making?? Huhh.
Mtasubiri sana, wewe, watoto wako, wajukuu zako na vitukuu vyako.
ha ha ha haaaaa
 
Kosa linakuja ukisema miaka 50000 kwenda mbele ndio itatokea ilo.
Lazima kuambiwa chai au muongo.tanzania toka lini ikakubari sayansi.ugonjwa wa uviko tu umeona na chanjo kujifanya ndio wanajua kuliko wazungu.
 
Aaah wapi, Mwalimu Nyerere mwenyewe alikuwa na ndoto za mchana kama hizo. Hadi alikuwa tayari kukubali mkoloni aendelee kuitawala Tanganyika. Wakati wakenya walikuwa wakimwaga damu wakipigana uhuru wa nchi yao.

Eti ndio tupate uhuru kwa pamoja tukiwa tumeungana kama nchi moja. Ila Mzee Jomo akakataa na ndio chanzo cha bifu kati ya Kenya na Tz, ambayo imedumu hadi enzi hizi.

Mzee Jomo alifanya jambo la busara sana. Sasa hivi tungekuwa sote tupo kwenye kikapu kimoja, tukiendeleza ujamaa maandazi na kugeuzwa kuwa maiti(kama alivyosema Jomo Kenyatta, enzi hizo, kuhusu watanganyika).

Bado hakuna faida ya ubepari njaa (primitive capitalism - where wealth is accumulated by robbery and plundering) katika kenya. Wachache ni first class citizen au wanaitwa wenye kenya. Halafu walio wengi ni hohe hahe, pangu pakavu tia mchuzi kama wewe.
 
Kosa linakuja ukisema miaka 50000 kwenda mbele ndio itatokea ilo.
Lazima kuambiwa chai au muongo.tanzania toka lini ikakubari sayansi.ugonjwa wa uviko tu umeona na chanjo kujifanya ndio wanajua kuliko wazungu.

Si kama umechanja ukae kimyaaa, usubirie mziki wakeee
 
Back
Top Bottom