24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,632
- 5,968
😀😀😀😀😀😀😀 nawaza wazazi wakisoma huu uzi watacheka na kuhuzunika sana..Gar bila kaz labda download magem ya magar
😀😀😀😀😀😀😀 nawaza wazazi wakisoma huu uzi watacheka na kuhuzunika sana..Gar bila kaz labda download magem ya magar
Let us be fair........utapata vipi nyumba na gari kwa jasho lako la halali at 25..?Ndio ninavyovyote hivyo na ni under 27.
Sure mkuu,lakini baadhi katika umri huu wapo wenye izo asset kaka but sio wengiKijana huo umri kwa wasomi ....wengi wanakuwa wapo vyuoni....ama ndio kwaaaanza wanakamata ajira zao za kwanza mara baada ya kutoka vyuo...hivyo sio rahisi kumiliki mali hizo....ila kwa wafanyabiashara vijana ambao wengi wao ambao hawakupita kwenye elimu zetu hizi.....form four six ...chuo.....kwa umri huo tayari walikuwa na uwezo wa kumiliki nyumba na gari....pia vile vile vijana ...waliowahi kukaa kwenye vitengo ....TRA kama tax assessors bandarini.....kwenye mabenk vijana wale wa faulo flani hv.....nk..vijana wa umri huo ....wakati wa JK tayari walikuwa na uwezo wa kumiliki hayo mambo....ila sio kwa zama hizi.
At least i have found my exactly match ! Hayo majukumu ya ziada ndo yanatufanya tusifike on time ! Mimi mwenyew nawajengea wazaz kwanza then ndo nianze kupambana na ya kwangu !mimi isingekuwa my extended family na shida nyingi hizi, basi hadi kufikia umri huo ningekuwa na gari na nyumba and more Nashukuru Mungu niliwahi kusoma na kupata kazi nzuri katika umri mdogo, nilimaliza my master degree at the age of 24. Nikapata kazi ya kunilipa mshahara mzuri sana at the age of 25, now nina miaka 27. Namshukuru Mungu napata mshahara si haba, nikijibana naweza nunua gari, nikajenga nyumba na nyongeza kabla ya kufikia 30. Lakini doo, mshahara ukitoka tuu unapukutika hatare, Umtumie bi mdashi home, shangazi sijui mjomba nini na nini basi najukuta naendelea kuwa maskini tuu bila kupenda. saivi ndo nipo nawajengea wazazi nyumba, nimalizanane nao ndo nianze kujijenga mimi.
Wakuru Magigi? Anajiita Phd holder not doctorSikufundishi unyimi, nakwambia nilichofundishwa na mwalimu wangu Prof. Wakuru Magigi, kwa sasa yupo wizara ya kilimo.
Prof alinifundisha hivi; ni bora uwe mnyimi sasa ili uje kuwanufaisha wajao. Kwa story yako ni wazi kuwa kama utaendelea kugawa mshahara wako basi wewe mwenyewe utabaki maskini kwa kutegemea salary na hata hao unaowagawia watabaki maskini, LABDA uwe unawapa mitaji na si pesa ya kujikimu.
Suluhisho; wanyime huku ukijibana kuweka vitega uchumi vyako ambavyo vitakuongezea kipato, ambapo utakuwa na uwezo mzuri wa kusaidia watoto wao vizuri.
Ngada FCMi namiliki jumba na gari yalitokea tu nisikokujua kama vichwa vya treni
Ulisoma mapema hadi rahamimi isingekuwa my extended family na shida nyingi hizi, basi hadi kufikia umri huo ningekuwa na gari na nyumba and more Nashukuru Mungu niliwahi kusoma na kupata kazi nzuri katika umri mdogo, nilimaliza my master degree at the age of 24. Nikapata kazi ya kunilipa mshahara mzuri sana at the age of 25, now nina miaka 27. Namshukuru Mungu napata mshahara si haba, nikijibana naweza nunua gari, nikajenga nyumba na nyongeza kabla ya kufikia 30. Lakini doo, mshahara ukitoka tuu unapukutika hatare, Umtumie bi mdashi home, shangazi sijui mjomba nini na nini basi najukuta naendelea kuwa maskini tuu bila kupenda. saivi ndo nipo nawajengea wazazi nyumba, nimalizanane nao ndo nianze kujijenga mimi.
Uko sahihi kabisaAnd it's true nimemaliza first degree nikiwa na miaka 21, nikaunganisha kusoma Masters, kwa miaka miwili . Sasa hapo uongo uko wapi? Hesabu ndogo hivi zinakushinda
Inategemea na familia inayokuzunguka. Kama ni wategemezi sana kwako, safari bado ni ndefu. Binafsi nilikuwa sana na tegemewa. Hadi leo hii nafikisha 30 sina nyumba wala gari zaidi ya kumiliki trekta, daladala na canter
Uko sahihi kabisa ulimaliza on timeAfu kumbuka sio wote waliopo JF ni kina baba.. Am not baba
Kuanza shule mapema raha sanaHahaha pole sana kwa kuchelewa kuanza shule. It was never my fault. I was so lucky kuanza shule mapema. So don't hate me for that...