Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

Hali ya kuwa na nyodo pindi kipato kinapokuwa kizuri huwakumba jinsia zote, na athari zake sio tu kwamba zipo ndani ya ndoa, bali hata nje kwa ndugu na marafiki kutegemea na muhusika mwenyewe...

Ila maumivu huwa makali zaidi ndani ya ndoa coz mpo pamoja...na iwapo mwenye kipato ni mke basi mwanaume anafeel maumivu kwa urahisi zaidi kutokana na nature kumtaka yeye ndiye kuwa dereva....hata kwenye jamii nyingi za wanyama madume ndio hutembezeana vichapo na mshindi a.k.a shujaa ndiye anazawadiwa NDOA, na hata enzi hizo mfano kwenye jamii ya wamasai mwanaume angepata mke baada tu ya kuonyesha ushujaa kwa kupambana na kumuua Simba, sasa ukowapi ushujaa iwapo mke ndiye atakuwa ameshika usukani ? ni sawa yeye ndiye kaua Simba.

Maisha gani mwanaume unaletewa dili la kiwanja cha bei nzuri, unakosa uamuzi mpaka uwasiliane na wife, akijibu "jamani si nilikwambia nasevu Mike (mdogo wake) anaenda kusoma cookery US next year ?...dili imekufa, utaishia kujisemea kimoyomoyo (acc ingekuwa inasoma nisingeacha)...hata kama utabahatika kupata Mke asiye na makuu, lakini kiasili ya ubinadamu lazima wewe mwenyewe utajisikia mnyonge tu bila hata mke huyo kufanya lolote.
 
Big up mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Maelezo yako yako tofauti na avatar yako... Kidding! Mwanaume anayependa kulelewa ndio ataafiki hili.

Hali ya kuwa na nyodo pindi kipato kinapokuwa kizuri huwakumba jinsia zote, na athari zake sio tu kwamba zipo ndani ya ndoa, bali hata nje kwa ndugu na marafiki kutegemea na muhusika mwenyewe...

Ila maumivu huwa makali zaidi ndani ya ndoa coz mpo pamoja...na iwapo mwenye kipato ni mke basi mwanaume anafeel maumivu kwa urahisi zaidi kutokana na nature kumtaka yeye ndiye kuwa dereva....hata kwenye jamii nyingi za wanyama madume ndio hutembezeana vichapo na mshindi a.k.a shujaa ndiye anazawadiwa NDOA, na hata enzi hizo mfano kwenye jamii ya wamasai mwanaume angepata mke baada tu ya kuonyesha ushujaa kwa kupambana na kumuua Simba, sasa ukowapi ushujaa iwapo mke ndiye atakuwa ameshika usukani ? ni sawa yeye ndiye kaua Simba.

Maisha gani mwanaume unaletewa dili la kiwanja cha bei nzuri, unakosa uamuzi mpaka uwasiliane na wife, akijibu "jamani si nilikwambia nasevu Mike (mdogo wake) anaenda kusoma cookery US next year ?...dili imekufa, utaishia kujisemea kimoyomoyo (acc ingekuwa inasoma nisingeacha)...hata kama utabahatika kupata Mke asiye na makuu, lakini kiasili ya ubinadamu lazima wewe mwenyewe utajisikia mnyonge tu bila hata mke huyo kufanya lolote.
 
sema wengi wetu tumezoea kulelewa na wanaume despite una kazi ama laa...sa linapokuja suala la wewe kumzidi kipato ndo tunaona majanga na ndomana hata wanaume nao wanakuwa hawajiamimi unaeza fanya/sema kitu akakichukulia ndivosivo nakuona unamdharau au unamsimanga...all in all mkeo anaeza kuzidi kipato na mkaishi vizuri tu..na wengine anaeza kuzidi ikawa majanga human beings are very complex
 
Shida kubwa sana
 
sasa mnanisaidiaje mimi mke ananizidi kipato na mimi namzidi elimu...embu okoeni hii ndoa....
 
Hali ya kuwa na nyodo pindi kipato kinapokuwa kizuri huwakumba jinsia zote, na athari zake sio tu kwamba zipo ndani ya ndoa, bali hata nje kwa ndugu na marafiki kutegemea na muhusika mwenyewe...

Ila maumivu huwa makali zaidi ndani ya ndoa coz mpo pamoja...na iwapo mwenye kipato ni mke basi mwanaume anafeel maumivu kwa urahisi zaidi kutokana na nature kumtaka yeye ndiye kuwa dereva....hata kwenye jamii nyingi za wanyama madume ndio hutembezeana vichapo na mshindi a.k.a shujaa ndiye anazawadiwa NDOA, na hata enzi hizo mfano kwenye jamii ya wamasai mwanaume angepata mke baada tu ya kuonyesha ushujaa kwa kupambana na kumuua Simba, sasa ukowapi ushujaa iwapo mke ndiye atakuwa ameshika usukani ? ni sawa yeye ndiye kaua Simba.

Maisha gani mwanaume unaletewa dili la kiwanja cha bei nzuri, unakosa uamuzi mpaka uwasiliane na wife, akijibu "jamani si nilikwambia nasevu Mike (mdogo wake) anaenda kusoma cookery US next year ?...dili imekufa, utaishia kujisemea kimoyomoyo (acc ingekuwa inasoma nisingeacha)...hata kama utabahatika kupata Mke asiye na makuu, lakini kiasili ya ubinadamu lazima wewe mwenyewe utajisikia mnyonge tu bila hata mke huyo kufanya lolote.

umenena vyema mkuu
 
Mwanamke ukiwa na kipato ni shida sana, unaweza ukaomba Mungu apitishe kwa huyo mumeo hizo pesa kuliko kupitia kwako (mwanamke)kila kosa hata liwe dogo utaambiwa ni vile unashika pesa au una kipato kuliko yeye.hizo pesa zako ndio itakuwa fimbo ya kukuchapia daily.
 
Mmmmhhh! basi zisake hela sio kukaa kijiweni kutwa nzima kuangalia sketi zikipita. Bila hivyo lazima nikuzidi kipato maana nikilala nawaza kusaka hela tu. All in all kwenye hili wanaume hawajiamini kabisa, ila kama mnapendana hakuna tatizo. Ubaya unakuja pale mama anachukua majukumu yote ya home mwanaume anashindia kijiweni akiomba hela akinyimwa anaanza kulalamika eti kiburi coz ya vijihera yako.
 
Anayeshinda maskan Kimeo zaidi
 
Mimi nimeokoka na nishakuwa mtu mzima, nataka niwe mkweli kwa mume wangu, ila sipendi ajue kama nimemzidi kipato. Sijui nifanyeje!!!!

Mfano mwanaume hakulizi chumo lako au pato lako kwa mwezi, lakini unajua pato lake kwa mwezi, unajua kinachotoka na kinacho ingia katika account yake.

Anakulisha na kukununulia nguo na vitu unavo penda.
Na haja omba nunua kitu au changia kitu, hadi kodi ya nyumba analipa yeye, peke yake.

Una nunua gari, mume hakulizi, anajua pesa umezitoa kwenye kijikampuni chako.
Kwa mfano una miliki milion 50 benki, ila mume hajui. Unanunua gari lenye thamani ya milion 35, mume anafikiri umebangaiza bangaiza huku na kule kwa tabu. Unamiliki, shamba kubwa moja na kiwanja kimoja. Na nyumba moja mbovu yenye thamani ya milion 30.

Mume anachopata ni milion 2 hadi 3 kwa mwezi.
Anamiliki milion 8 benki.
Gari yake milion 10.
Mume ana kiwanja kimoja na shamba moja.

Lakini munaishi nyumba ya kupanga sehemu. Kodi analipa yeye, laki 4 kwa mwezi.

Mahusiano yenu hakuna anaefuatilia chumo la mwenzie sana, kinachopatikana asante mungu, kinachokosekana asante mungu. Akiba ipo, itafaa siku ya dhiki.
Mume hajui unamzidi milion 5 kwa mwezi mfano.

Hivi ikitokea mume anataka kujua ulicho nacho, na akagundua umemzidi pato, je inakuwaje?

Kuna mtu ana experience humu ndani, ya hii kitu?
 
usiseme umeokoka sasa? Mungu mwenyewe anatufundisha kupendana na kushikamana!kwanini wewe umfiche mumeo!gharama zote juu yake,na wewe unajua anavyo angaika! wanawake bwana!! hazimo kabisa! huoni hata aibu kuja omba ushauri UMU! hizo mali ni zakwenu wote yeye ni mume wako na wewe anakuita mke wake! hata mali hivyo hivyo! zakezako!zako zake! Hiyo ni dalilli ya dhalau,majivuno,kujisikia na ikikomaa basi utaanza kuchepuka very soon! maana hizo ndio kazi za shetani na ibirisi! muombe msamaha mume wako! umemkosea! yawezekana amekaa kimya anakusoma! hakuna binadamu mjinga!usiludie tena kusema umeokoka na huku unafanya mambo yasio shabiana! acha maramoja! soma waraka wa kwanza wa yohana 4:20
 
Sa kama haulizi shida ipo wapi? Ni vizuri tu Kwanzaa ndo unajijengea heshima
 
Bado maana sahihi ya ndoa kati yenu haijawa sahihi kwa namna hyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom