Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
- Thread starter
- #41
Hiyo labda barani ulopa lakini huku Africa, ukizidiwa pato na mke andika umeumia. Utakuwa mtumwa we ndo utakuwa mpikaji na kutenga chakula mezani! Hawa wanawake wa kiafrika mwanaume unatakiwa ukaze buti tu umzidi kipato. Ndo mana hata wanawake ambao wamesoma sana na wako juu kiuchumi most of mens wanawaogopa kuwaoa. Ukichunguza kwa undani wanaume wanaogopa kuzidiwa kipato na wanawake kwenye maisha yao,
Si kwamba tunaogopa kuwaoa ila HAWAOLEKI