Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Usiombe mwanamke akuzidi utajutraaa hata kama sio leo hata kesho kutwa utajutraa tu ila sio wote!!!!
Jamii yetu inaona hicho ni kitu cha ajabu sana. Mwanaume anakuwa unadharauliwa na ndugu wa mke sana. Usiombe aisee hii kitu kabisa yaani hata mkeo akiwa poowa ndugu zake watakuona unamtegemea kila kitu.
Fedha kwa yenyewe haina neno, Inavaa tabia za ndani za mwenye nazo. iwe mwanaume au mwanamke fedha inakuwa nzuri au mbaya kulingana na mtu mwenyewe anavyoichukulia pesa.
1. Kuna watu ambao upendo wa dhati ndio umewaleta pamoja.... hawa hata wawe na mabilioni either way.. wako poa.
2. Kuna baadhi ya wanawake wameolewa kwa kutokana na uwezo wa kifesha wa Mwanaume.. hawa hubadilika kadiri anavyoendelea kujikwamua ikatokea akamzidi mume kipato...
3. Wanaume ambao wanaoa kwa kutegemea kipato cha Mwanamke... Hapo mwanaume lazima awe under terms and conditions.... Which is very bad ''Hekima ya masikini haisikilizwi''
4. Wanaooana kawaida tu, mmoja anakufanikiwa zaidi ya mwenzake.. Huyu kwa kushika hela nyingi asipokuwa makini zitamsumbua na kuharibu mahusiano
5. Bahati ya kufanikiwa... kuna watu kila wafanyacho lazima wafanikiwe na wengine kila wafanyacho kitayumba tu kama sio leo ni kesho.. ikiwa mwanamke ndio ana hio bahati halafu ana kiburi cha mafanikio hapo lazima iwepo shida.
n.k nk.
The biggest challenge to both of us is to determine who is enslaving who. Is money your servant of your master? both options are within reach... lets deliberately enslave money. Period
Habari wana JamiiForums.
Natumai Jumatatu imeanza vyema tukiwa wenye siha njema.
Kama sivyo nawaombea Mungu wote wasio katika ubora wao basi wairejee hali yao ya kawaida.
Nina moja tu la kutaka tushirikishane mawazo:
" Ni sahihi mume kuzidiwa pato na mkewe?"
Kuna faida au madhara gani iwapo mke atamzidi pato mumewe?
Karibuni tujadili kwa staha bila masihara mengi wala kutoka kwenye mada.
Fafanua mkuuu....
Uko sahihi. Unadhani mkenya na mmalawi wakitushauri watz tutamsikiliza nani zaidi?
most of women akishamzidi mwanaume kipato, huwa wanaanza madharau/nyodo. ila sio wote, wapo wachache wenye maadili hu-maintain respect regardless of earning variation ktk mahusiano