Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Habari wana JamiiForums.
Natumai Jumatatu imeanza vyema tukiwa wenye siha njema.Kama sivyo nawaombea Mungu wote wasio katika ubora wao basi wairejee hali yao ya kawaida.
Nina moja tu la kutaka tushirikishane mawazo: " Ni sahihi mume kuzidiwa pato na mkewe?" Kuna faida au madhara gani iwapo mke atamzidi pato mumewe?
Karibuni tujadili kwa staha bila masihara mengi wala kutoka kwenye mada.