Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

Kuna ubaya mwanamke akikuzidi kiuchumi?

Punguza uanaume wako ndani, mpe kipaumbele kwenye maamuzi ya familia, mheshimu, uwe na kifua kipana cha kustahimili mambo etc.

Hata hivyo baadhi ya wake zetu ni waelewa japo ni watatu kwa kumi, na inategemea pia enzi zako ukiwa nacho, ulikuwa una mtreat vipi, yeye na familia.

All in all , kuyumba kiuchumi kwa mwanaume ndani ya familia ni disaster. Tumuombe Mungu sana, maana hiyo kona shetani anaipenda sana.
 
True

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu....

Mke wangu (ninaishi nae) amenizidi kipesa kwa kuwa nimeachana na kazi ya kuajiriwa ambayo tulikuwa tunafanya pamoja katika kampuni moja, ni baada ya kuona kuwa kupelekeshwa kumezidi (viwanda vya wachina) nikaona bora nijiajiri hivyo nimeporomoka sana kwa kuwa nilipokuwa nimejiriwa nilikuwa natengeneza 150,000 kwa mwezi mmoja ila kwa sasa natengeneza 50,000 kwa mwezi katika biashara yangu.

Hivyo imepelekea ule utoaji huduma wa ndani kupungua hivyo anajikuta mwenyewe akifanya 66mambo makubwa kunizidi kwa mfano; ununuaji wa vitu vya ndani n.k. Anaonekana bado ananiheshimu japo sina imani nae sana, najihisi kukosea sana kuacha ile kazi ila roho yangu inaonekana kuwa na amani nikijiajiri. Je, itaniletea athari zozote mbeleni ikiwa kipato kitashindwa kukua?
Kukuzidi anaweza kukuzidi Lakini hakikisha majukumu yale ya kibaba ya nyumbani kama breadwinner unayatimiza ukimuachia jukumu mkeo kuwa breadwinner na pillar ya familia alafu wewe kama mwanaume huwajibiki pale nyumbani kama baba hiyo ndio inakuwa hatari kuzidiwa kipato na mwanamke, kumbuka huyo ni msaidizi wako usimfanye y eye kuwa kichwa
 
INAVYOONESHA WEWE UPO M-BABE M-BABE, NDIO MAANA UKAWA NA FIKRA HIZO.
IKIWA ULIONESHA UPENDO UKARIMU NA MLIISHI KWA SALAMA NA AMANI KIPINDI CHOTE, BASI HAKUTOKUWA NA TATIZO.
ILA KAMA ULIISHI KIBABE BABE UKAONA MWANAMKE KAMA UMEMNUNUA VILE SIO RAFIKI MPENZI, BASI HAPO UTAJAZA MWENYEWE.
MAANA BAADHI YA WANAUME HUDHANIA YULE MWANAMKE NI TERMINATOR!
 
Hahaha kiukweli me ni mbabe pale aliponikosea na nipo hivyo hadi sasa ila ckuwahi kumnyanyasa tuliishi tu kwa upendo na niliwajibika ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yanazid unga ukiona hivyo. Na infact recently wanawake wamekua wamiliki wa uchumi mkubwa kuliko wanaume. And this screw men's confidence
Ukitaka mwanaume pumbuu isinyae mwanamke pata pesa[emoji16][emoji28]
 
Ndugu yangu,nikosa kubwa sana kuzidiwa kipato na mwanamke tegemea dharau na kejeli.
 
Habari wana JamiiForums.

Natumai Jumatatu imeanza vyema tukiwa wenye siha njema.
Kama sivyo nawaombea Mungu wote wasio katika ubora wao basi wairejee hali yao ya kawaida.

Nina moja tu la kutaka tushirikishane mawazo:
" Ni sahihi mume kuzidiwa pato na mkewe?"
Kuna faida au madhara gani iwapo mke atamzidi pato mumewe?

Karibuni tujadili kwa staha bila masihara mengi wala kutoka kwenye mada.
Kwa ndoa ya kweli ya Kikristo hakuna msamiati wa aina hiyo
 
Mwanamke akiwa ni mcha mungu mzuri na aliyeshiba imani na mapenzi. Kisha awe aliyepata malezi mazuri toka kwa wazazi wake hakuna shida kabisa. .hali inaweza kuwa mbaya kama ni yule mwenye ulimbukeni wa maisha na pia kazishika ukubwani. Usisahau hata wanaume wa namna hiyo wapo.
Mwanamke MCHAMNGU hawezi kamwe kumzidi mumewe kipato
 
Haaaaaaahaaaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom