Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

Hakuna tatizo, kama unapata mashaka na tabia za wanao wajengee banda masela nje wawe wanazamisha pisi za mtaani kwa uhuru.
Nakumbuka kipindi kile tulikuwa tunamshauri sana mzee ajenge banda nje tukiwa na malengo nalo binafsi.
😂 😂 😂
 
Ni kweli hakuna shida,shida ni tabia za watoto wake,au tabia mbaya alizokulia yeye Baba mtu ndio zinamfanya awe na mashaka na watoto wake...
 
Unaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.
Hivi kweli Mtu mwenye akili timamu unawezaje kumtamani Dada yako?

Nafikiri ni kwa wale tu waliolaaniwa na MUNGU, ndio wanaweza kuwatamani dada zao au kaka zao kimapenzi.

Kijana yeyote mwenye hofu ya MUNGU, kamwe hawezi kusimamisha uume wake kwa Dada yake au kuloanisha chupi yake mbele ya kaka yake.

GOD, forbid it!
 
Labda balehe yako ilikua ya baridi, au hujui nini maana ya hisia kamili ya kiume, ndiyo maana unaropoka tu.
 
Labda balehe yako ilikua ya baridi, au hujui nini maana ya hisia kamili ya kiume, ndiyo maana unaropoka tu.
Nimeandika, na narudia tena kuandika, mtu yeyote mwenye kumtamani kimapenzi dada yake au kaka yake, mtu huyo amelaaniwa.

Tena inaonekana wewe hukupata malezi bora toka kwa wazazi wako. Yaani kwanza tu hata kumtamani Dada yako ni tendo la aibu kubwa mno.

Usisingizie "balehe" , wewe hulelewa vizuri. There is no excuse to such kind of sexual immorality!
 
Duh! Leo ndio naskia kuna shida ukiishi vyumba vya karibu na dada zako. Hofu yako ni ipi mtoa mada?

Mimi nimekulia ktk nyumba ndogo sana ya vyumba viwili pamoja na choo na bafu moja ndani (almost 500 square feet living space) tumezaliwa wawili mimi na mdogo wangu wa kike yeye alikuwa analala na mama (mjane) mimi nilikuwa nalala pekee yangu. Vyumba vilikuwa vinatizamana na sikuwahi kuona shida yoyote Ile.
 
Huyo ndugu yako inategemea yukoje , kama mkipiga pastport ww na dada yako mtu hawez tofautisha huwez mtaman

Lakini vile vile inategemea umezaliwa na wazazi gani km mama ako na baba ako ni mtu na dada ake basi unaweza kuwatamani dada zako tumbo mojA na ukaona ni kitu cha kawaida maana umetoka kwenye uzao wa laana na wala sio balehe kama unavyodhani..
 
Hakuna shida...

Inapendeza zaidi, kama kutokea mlango mkuu kianze chumba cha watoto wa kiume, kifuate cha wazai katikati alafu kimalizike na cha watoto wa kike...
 
Nimeandika, na narudia tena kuandika, mtu yeyote mwenye kumtamani kimapenzi dada yake au kaka yake, mtu huyo amelaaniwa.

Tena inaonekana wewe hukupata malezi bora toka kwa wazazi wako. Yaani kwanza tu hata kumtamani Dada yako ni tendo la aibu kubwa mno.

Usisingizie "balehe" , wewe hulelewa vizuri. There is no excuse to such kind of sexual immorality!
Usomi mwingi mbele kiza, pamoja na usomi wako ila vitu vya kawaida vya kijamii huvijui, umekariri vya makaratasi na maandiko.
Haya mambo yapo, yasingekuwepo mtoa post asingekua na wasiwasi wa watoto wa kiume na wa kike kuwajengea karibu.
 
Lkn vile vile inategemea umezaliwa na wazazi gani km mama ako na baba ako ni mtu na dada ake basi unaweza kuwatamani dada zako tumbo mojA na ukaona ni kitu cha kawaida maana umetoka kwenye uzao wa laana na wala sio balehe kama unavyodhani..
Ukiona hivyo ujue bimkubwa ni kisu , sio kama huyo wako mpaka mtu atambulishwe , hawez jua kama n jinsia Ke au Me
 
Usomi mwingi mbele kiza, pamoja na usomi wako ila vitu vya kawaida vya kijamii huvijui, umekariri vya makaratasi na maandiko.
Haya mambo yapo, yasingekuwepo mtoa post asingekua na wasiwasi wa watoto wa kiume na wa kike kuwajengea karibu.

Cha kawaida cha kijamii kipi hapa?
Au wewe na mtoa mada mnatokea jamii ili?

Maana kama ni jamii hii ya wa-Tanzania basi siku si nyingi kabla ya muumba kutushushia ghadhabu.

Kuna mstali mwembamba sana kati ya ujinga na ushetani.

Ukianza na dada zako itakuwa vipi kwa watoto wako wakike (au hata wa kiume sababu laana haina mipaka) ikatokea mama yao katoka (talaka, kifo, au sababu yoyote)

Si mtalala na wanenu wa kuwazaa nyie?

Usisingizie upumbavu wako wa kukimbia shule kuhalalisha upuuzi!
 
Naona watu wanamshambulia sana mtoa mada bila kuchakata akili zaidi.Utagiti unaonyesha 80% ya watoto wa kike wanakuwa abused sexually na ndugu zao humo humo ndani wakati wewe unakomaa tu na ukoloni.
Na kuna tafiti ilifanyika na kuonyesha watoto wengi wanapofika balehe huanza kuwatamani ndugu zao kuanzia wazazi na wengine.
Hivuo mleta mjadala yuko sahihi ni vema vyumba visiwe karibu
 
Unaijua balehe au unaisikia?
Nyumba yetu ilijengwa kama mkuu anavyoomba, chumba cha dada zangu na changu vilipakana, nilipata shida sana wakati nabalehe kwa kuwatamani dada zangu. Bahati nzuri MUNGU akanisaidia nikajiongeza, kulikua na banda la uani nikahamia huko. Masista zangu kama walinisoma, wakawa wanajifanya wanaleta marafiki zao ghetto niwasaidie kusolve hesabu, nikawa naponea hapo.
Ushauri kwa mtoa post, kama umependezewa na hiyo ramani na unataka kuijenga kama ilivyo, jenga tu, ila weka na vyumba/chumba cha dharura.
Duh sista kakuletea mboga dah mm mama yngu mkali nilikoma saa 12 anataka niwe ndan afu house girl kampiga bit kuwa asithubutu ku do na mm kwa bahat nzur nilimpanga house girl akanielewa nikaponea hapo ila baadae mama alimtimua alipogundua kuwa mitambo ishasetiwa
 
Back
Top Bottom