Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,056
- 18,404
Sasa kama pisi za kwako unafungia ndani masela wa jirani watazipataje za humo kwako ili nao wazamishe huko banda la nje?Hakuna tatizo, kama unapata mashaka na tabia za wanao wajengee banda masela nje wawe wanazamisha pisi za mtaani kwa uhuru.
Nakumbuka kipindi kile tulikuwa tunamshauri sana mzee ajenge banda nje tukiwa na malengo nalo binafsi.
Wanaume wabinafsi sana.