😂😂😂AINA YA VYETI WANAVYOMILIKI.
kwamasomo ya sayansi je?Kwa masomo ya Arts... Aliyepita A levrl anauelewa mkubwa zaidi wa General knowldege kuliko wa Diploms.. Mfano.. Mtu akiyeenda kusoma HGE baadaye akaenda kusoma Uchumi, anakuwa na Uelewa mkubwa zwidi wa Dunia kuliko mwenye Diploma
Hata kwa Sayansi aliye pitia six anakuwa mwepesi tofauti na diploma, ila work experience wa diploma anakuwa nayo, six inafaa kwa watu wanao somea ualimu,kwamasomo ya sayansi je?
Nafikiri aliyepitia diploma anakuwa na uelewa wa ndani zaidi katika taaluma husika, maana amekuwa akisomea hilo eneo la utaalamu tangu hatua ya mwanzo, wa kidato cha sita anakuwa na uelewa wa juu juu. Ila katika shahada wote wana nafasi sawa, ni uelewa tu wa mhusika.Kuna tofauti gani kati ya degree holder aliye pitia diploma, na degree holder aliye pitia form 5&6.?
jidanganye.mainjinia waliosoma diploma ndio wapo vizuri kuliko waliopita 5/6Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Unatetea vp point yako kwa yule mwenye div one tena ya masomo ya science kutokwenda 5 na kuunga dip.Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Inategemea na diploma gani, kuna watu wanaenda vyuo vya DIT, MUST, ATC na vinginevyo wakiwa na matokeo mazuri kabisa.. Umefeli form 4 huwezi kwenda kusoma DIT kizembe zembe.Usually wanaopitia diploma ni failures waliokosa credits za kwenda F5 directly. Nowadays baadhi ya degree bila point 5 no admission.
Ikumbukwe kuwa kuna mwenye diploma na kasoma 5&6 (A-level) then kaenda degree kupitia pass mark za diplomaKwa masomo ya Arts... Aliyepita A levrl anauelewa mkubwa zaidi wa General knowldege kuliko wa Diploms.. Mfano.. Mtu akiyeenda kusoma HGE baadaye akaenda kusoma Uchumi, anakuwa na Uelewa mkubwa zwidi wa Dunia kuliko mwenye Diploma