Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

Wasanii wengine akina nani?!

In short, Wasanii wa Bongo wakijiona wanafeli tu lazima wasake mchawi!

Tuliwahi kumsikia Aslay akidai anahujumiwa, Harmonize na mwenyewe wiki chache zilizopita nae akadai anahujumiwa, huku akisahau kabisa kwamba mashabiki wake wengi hawakuwa mashabiki wake per se bali ni mashabiki wa Diamond!!!

Juzi juzi tu hapa kuna msanii mmoja, nadhani ni wa kike nae eti akadai anahujumiwa... yaani wakifeli, wanakimbilia kulia wanahujumiwa!!

Btw, nimekuwekea hapo maelezo ya Google wenyewe wakisema sababu zinazopelekea akaunti kuwa frozen kwa muda, kama mnaona Kiba anahujumiwa, kwanini basi msipeleke malalamiko?!

Hakuna hata mara moja Kiba atoe wimbo watu wasilalamike kuhujumiwa, tena wakati mwingine management yake ndiyo inalalamika!! Seven kashalalamika sana! Hii management mpya na wenyewe tayari wameshaanza kulialia kwamba wanahujumiwa!

Hayo yanatokea wakati Ali Kiba mwenyewe yupo chini ya Sony Entertainment... moja ya lebo kubwa kabisa duniani! Sasa inakuwaje Sony miaka yote hii wanakaa kimya wakati Msanii wao kila akitoa ngoma anahujumiwa?! Hivi inaingia akilini?!

Unajua nyie watu mnachekesha sana!!! Hivi mnadhani ku-hack mtandao kama Google/YouTube ni jambo dogo!!! Hiyo JF yenyewe inabidi ujipange kweli kweli kuweza kui-hack, seuze Google/YouTube!!

Au mnadhani ku-hack YouTube ni kama ku-hack Instagram Account ya Shilole!!

Isitoshe, Kiba mwenyewe anatoa ngoma mwaka mara moja, matokeo yake siku akiachia ngoma mashabiki wake mnakamia... what do you expect?!

Tena si ajabu wakati mwingine mnakamia mkiwa na tamaa afikishe 1M Views ndani ya muda mfupi... mtafyekwa tu!!
kiongozi mi nakuelewa sana na hata sio kilaza kiasi hicho wa kushindwa kukuelewa katika maelezo yako haya mazuri. nikiri tu kuwa unaonekana una uelewa wa kutosha tu katika haya mambo kwa jinsi ulivyoyaelezea na hata kutoa reference.
tatizo langu kubwa mpaka sasa lililobaki ni kuwa kwanini msanii kama diamond yeye hatokewi na tatizo kama hili.....yaani ye akianza huwa zinapanda tu kwa kasi ya ajabu. je, ni sababu ya kuwa maarufu zaidi kuliko wote au watazamaji wake wana ujuzi flani unaowawezesha kuangalia kazi zake kwa usahihi?!!!!! labda kama maelezo hayo yapo hapo na sijayaelewa!
 
Ngoja nikupe mfano mdogo sana!

Assume wewe una akaunti benki, na deposits zako ni zile za laki mbili mbili, laki tatu tatu! Umejitahidi sana labda ume-deposit 1M kwa mkupuo!!

Sasa ikitokea siku umepata pesa ya kutosha, mathalani 50M na ukaenda ku-deposit zote kwenye akaunti ile ile... trust me, bank watakuuliza source ya hiyo pesa kwa sababu ndivyo sheria zao zinavyosema!!

Lakini mtu kama Manji kwa mfano hata aki-deposit 500M hawezi kuulizwa kwa sababu inawezekana deposits za aina hiyo ni jambo la kawaida kwenye akaunti yake!!

Hiyo maana yake nini?!

Tayari Diamond ni kama ameshakuwa established artist YouTube! Kama sikosei, Diamond ndie Msanii mwenye Subscribers wengi zaidi YouTube kuliko msanii mwingine yoyote Kusini mwa Jangwa la Sahara!

Na kimsingi, Msanii aliyemzidi Diamond Subscribers Afrika Mzima ni mmoja tu, somebody Muhamad or something like that... sina uhakika sana na hili jina, lakini ni Msanii wa Filamu na Muziki kutoka Egypt!!

Na kama utakumbuka, Diamond ameshakula tuzo mara mbili kutoka kwa hao hao YouTube, na alifika hadi HQ ya YouTube, kama sikosei ni baada ya kufikisha Subscribers 3M.

Sasa hiyo maana yake ni nini?!

Kwa mtu mwenye Subscribers 2M haiwezi kuwa ajabu kufikisha 1M Views within 24 hours or less, na inavyotokea hivyo, haiwezi kuonekana ni suspicious activity!

Halafu kuna jambo moja lakini sina uhakika nalo! Kuna baadhi ya YouTube Channel ikigonga hata Views 10K, tayari system inaanza kuwa alerted!

Sasa turudi kwa Ali Kiba! Kwanini tatizo linaanza Views zikishafika laki kadhaa na sio hiyo 10K?!

Ukiangalia kwa umakini hapo utaona ni kama system ya YouTube imezi-categorize hizi akaunti, ndio maana akaunti zingine zikishafika 10K tayari system inakuwa alerted na akaunti inaweza kuwa frozen hapo hapo; lakini kwa mtu kama Kiba ikishafika laki kadhaa, na usually above 500K, tatizo linaanza lakini hiyo kwa Diamond haitokei!

Chukua hiyo mifano miwili kisha rudi kwenye YouTube Channel ya Kiba na ya Diamond!

Wakati YouTube Channel ya Diamond kwa sasa ina Subscribers zaidi ya 3M, ile ya Kiba aliyoweka Dodo ina Subscribers chini ya 200K!!

Sasa kama assumption yangu ya ku-categorize hizi akaunti ni sahihi, utashangaa akaunti ya Kiba kuwa frozen baada ya kuona Views zipo busy counting wakati subsribers wake hawafiki hata 200K?!

Katika mazingira kama hayo sitashangaa akaunti ikiwa frozen ili kukagua hizi Views zinatoka wapi wakati hata subscribers wenyewe hana!!

Ukaguzi ukifanyika, system inakuta 90% ya Views ni direct from Instagram Account... kwamba, watu wanafika YouTube baada ya kufuata link kutoka Instagram (for this case, akaunti ya Kiba ya Instagram ingawaje haijalishi ni direct from which account)... kitu ambacho kinakubalika!!!
 
Kiba mwenyewe anajijua kama kafilisika kimuziki.. na ndio mana anatumia kiki kama za akina meja kunta na dula makabila, anachokifanya anakijua na ndio maana kamuweka hamisa mobeto kwenye wimbo wake mpya. King kaamua asafarie nyota ya tandale unafanya mchezo na simba.
We kweli Bwege, yani watanzania tukae tusikilize Maneno ya Bwege kweli
 
Hivi mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka Neno diamond kwenye uzi wako?

Mbona ungecriticise nyimbo au msanii husika tungeelewa poa? Sikupangii cha kuandika though

Alafu keep your records straight. Kiba alishamtumiaga mobeto ka video queen a long time ago kabla hata ishu yake na simba. Haya ni marudio tu

Anyway Sijui hata Kwanini nimejibu Huu Uzi wako. Wanasemaga Chuki humchoma anayeiihifadhi au siko Sawa?
Hatumii akili kufikiria anatumia mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikupe mfano mdogo sana!

Assume wewe una akaunti benki, na deposits zako ni zile za laki mbili mbili, laki tatu tatu! Umejitahidi sana labda ume-deposit 1M kwa mkupuo!!

Sasa ikitokea siku umepata pesa ya kutosha, mathalani 50M na ukaenda ku-deposit zote kwenye akaunti ile ile... trust me, bank watakuuliza source ya hiyo pesa kwa sababu ndivyo sheria zao zinavyosema!!

Lakini mtu kama Manji kwa mfano hata aki-deposit 500M hawezi kuulizwa kwa sababu inawezekana deposits za aina hiyo ni jambo la kawaida kwenye akaunti yake!!

Hiyo maana yake nini?!

Tayari Diamond ni kama ameshakuwa established artist YouTube! Kama sikosei, Diamond ndie Msanii mwenye Subscribers wengi zaidi YouTube kuliko msanii mwingine yoyote Kusini mwa Jangwa la Sahara!

Na kimsingi, Msanii aliyemzidi Diamond Subscribers Afrika Mzima ni mmoja tu, somebody Muhamad or something like that... sina uhakika sana na hili jina, lakini ni Msanii wa Filamu na Muziki kutoka Egypt!!

Na kama utakumbuka, Diamond ameshakula tuzo mara mbili kutoka kwa hao hao YouTube, na alifika hadi HQ ya YouTube, kama sikosei ni baada ya kufikisha Subscribers 3M.

Sasa hiyo maana yake ni nini?!

Kwa mtu mwenye Subscribers 2M haiwezi kuwa ajabu kufikisha 1M Views within 24 hours or less, na inavyotokea hivyo, haiwezi kuonekana ni suspicious activity!

Halafu kuna jambo moja lakini sina uhakika nalo! Kuna baadhi ya YouTube Channel ikigonga hata Views 10K, tayari system inaanza kuwa alerted!

Sasa turudi kwa Ali Kiba! Kwanini tatizo linaanza Views zikishafika laki kadhaa na sio hiyo 10K?!

Ukiangalia kwa umakini hapo utaona ni kama system ya YouTube imezi-categorize hizi akaunti, ndio maana akaunti zingine zikishafika 10K tayari system inakuwa alerted na akaunti inaweza kuwa frozen hapo hapo; lakini kwa mtu kama Kiba ikishafika laki kadhaa, na usually above 500K, tatizo linaanza lakini hiyo kwa Diamond haitokei!

Chukua hiyo mifano miwili kisha rudi kwenye YouTube Channel ya Kiba na ya Diamond!

Wakati YouTube Channel ya Diamond kwa sasa ina Subscribers zaidi ya 3M, ile ya Kiba aliyoweka Dodo ina Subscribers chini ya 200K!!

Sasa kama assumption yangu ya ku-categorize hizi akaunti ni sahihi, utashangaa akaunti ya Kiba kuwa frozen baada ya kuona Views zipo busy counting wakati subsribers wake hawafiki hata 200K?!

Katika mazingira kama hayo sitashangaa akaunti ikiwa frozen ili kukagua hizi Views zinatoka wapi wakati hata subscribers wenyewe hana!!

Ukaguzi ukifanyika, system inakuta 90% ya Views ni direct from Instagram Account... kwamba, watu wanafika YouTube baada ya kufuata link kutoka Instagram (for this case, akaunti ya Kiba ya Instagram ingawaje haijalishi ni direct from which account)... kitu ambacho kinakubalika!!!
Boss mbona kama mfano wako wa bank na youtube haviendani!
Kwamba unajarib kusema mond hawahangaiki nae kwasababu ni kawaida yake???hii ni fact au mawazo yako tu mzee
Na unajarib kusema kua mashabiki wa kiba wanampenda kias kwmba wengi wao wanaangalia sana nyimbo mara nying kuliko wa mond??mmh
Sisemi kua mond anamhujum kiba ila mnajarib kuiweka as if ni kiba tu ndio mashabiki wake kuna ujuzi wa youtube hawana
 
Hivi mkuu kulikuwa na haja gani ya kuweka Neno diamond kwenye uzi wako?

Mbona ungecriticise nyimbo au msanii husika tungeelewa poa? Sikupangii cha kuandika though

Alafu keep your records straight. Kiba alishamtumiaga mobeto ka video queen a long time ago kabla hata ishu yake na simba. Haya ni marudio tu

Anyway Sijui hata Kwanini nimejibu Huu Uzi wako. Wanasemaga Chuki humchoma anayeiihifadhi au siko Sawa?
Hizi Timu sijui timu kiba sijui timu diamond ...wote ni mapunguwani .... Mziki mzuri utasilikizwa tuuuuu
 
Huyu Domo ananunua viewers na kuhujumu wasanii wengine ili yeye abaki juu. Ana mtandao mkubwa sana. Anahonga hadi kampuni ya Google.
 
Siamini Katika karma, naamini Katika mapambano ukiona mtu anaanza kuzungumzia Karnlma maana yake uwezo wa kufikri umefikia ukomo na amesurrender kujipa matumaini anazungumzia Karma.
Karma ingekuwepo hakuna mtu angeenda hata kushtaki angesubiri Hiyo Karma.
Waliotuuza utumwani na walitutawala wanaendelea kunawiri wakati tunasubiri Karma. Akili sijui tumeweka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyimbo nimeisikiliza zaidi ya mara kumi sijashika hata sentensi moja I mean haijanibamba na wala siisikii mitaani.

Nilichogundua wale viewers ni muendelezo wa kutumia nyota ya diamond natamani nyimbo ijayo ya alikiba vixen atakuwa zari
,wema ,etc ile nyimbo hata mitandaoni hawajadili content ya wimbo Bali uzazi mwenza wa diamond.
Na diamond kwenye washauri amejipanga amemnyima jamaa kiki kabisaaaaaaaaaaaa yaani kama haoni .

Aidha alikiba anajua vizuri kuwa hakuna mtu anaweza hick youtube Africa inalindwa na technology za juu hata meneja wake amekiri ni mambo ya kawaida ila ili awe midomoni mwa watu lazima watumie ujinga wa mashabiki kuwa na huruma kuwa mondi mbaya sana .
Ona nyimbo ya mshumaa yaani hadi ukiisikia unafurahi simba bila makiki wala tension .ila akiendelea na huu mtiririko wa kutumia nyota ya tandale watakuja kushindana na kina ibraah wa harmonise

Ali kiba amekuwepo miaka 17 iliyopita ni baba wa diamond kuwa kusign wimbo wake wa kwanza kabisa kwenye studio ambaye yeye alikuwa director!!! msijisahaulishe nadhani historia hii huwa mnaikwepa kuwa kwenye studio ya Bob Junior ambayo diamond alienda akiwa ana rap aliambiwa aimbe!!! ALI KIBA Kamfundisha vocal na punch DIAMOND usijisahaulishe hili pia, htaki kamuulize OMMY dimpoz

Kiba ana washabiki wapenzi na wafuasi, haimbi matusi wala kiki za kimapenzi za kumfanya awe kwenye news.Nyimbo zake zinasikilizwa na kila rika, kila dini na may be mahali popote hata nyumba za ibada. Ila wewe na mama yako hamuwezi kusikiliza nyimbo za diamond kama salome, jeje, kwangaru kama hautakuwa unamdhalilisha mama yako!!!

Kiba alipotea kwenye game kwa miaka 3 akarudi...HAJAWAHI imba nje ya maadhi ya zile nyimbo za asili za kitanzania-bongo flava ina asili ya Tanzania na waanzilishi ndio hao akina akiba akitanguliwa na kaka zake akina dully, domokaya, voice wonder, sumalee, z anto, marlaw, n.k katika stars wa miaka mingi Kiba yumo...Infact kipindi tunakua, KIBA ALIKUWA ANAFANANISHWA NA KILA MTU......na wote hawapo

Kiba alipotea nje ya ulingo wa muziki kwa miaka mitatu na akarudi akashika nafasi yake na yuko hapo alipo!!! YEYE sio mtu wa mashindano, yuko so real and natural na HANA papara wala kufuata mkumbo

wimbo wa dodo NI WA KAWAIDA sana, ila unaona impact yake? wakati asilimia 90 ya wanamuziki wanawaza kuimba ki nigeria akina ALI KIBA wamekomaa local, nyimbo za kawada kabisa na ndio ona watu wake wanaompenda hivyo hivyo ...............HII NI ISHARA mbaya kwa maadui zake, Kiba ni Game changer, anabadilika kila wimbo, anatoa wimbo watu wanapokuwa na hamu nae, hana skendo wa kiki za kijinga

maadui zake wanajua uwezo wake wa kuimba LIVE, kutambaa na bit yoyote ( tafuta nyimbo zote alizishirikishwa...tafuta yeye na bonge la nyau), wanajua ubunifu wake na mvuto wa kuifanya JAMII iimbe na kufuatilia nyimbo zake ambazo KATU hazina matusi!!!! MUOGOPE sana mtu ambaye ana mvuto wa asili na hana matusi wala kufuata kelele za mitandao....huyo mtu ana nguvu za asili

akina Z ANTO, MARLAW, sajna, belle 9, ibrazoma wamejitahidi kurudi na kutoka na nyimbo mpya tena kali,,,,,hauwaoni wala hauwasikii....IT IS ALWAYS THE KING anasikika, hata akikaa miaka 5 siku akiamka, utasikia kaamka...............anapendwa kwa asili yake, kujiheshimu! ,...HIVYO HIVYO unamuona kama mjinga mjinga, mshamba mshamba, ILA ANAPENDWA huyo!!! watu wanampenda genuinely ...ndio maama hata akikohoa leo, nchi nzima italipuka, na kibaya zaidi au kizuri nyimbo zake hazina mvutiko wa matusi..maisha ya kawaida kabisa na juzi Diamond alikuwa akiimba wimbo wa hadith wa ali kiba, wewe mshabiki wake, unajifanya una U TEAM kuliko wcb wenyewe!!!

Kama mama yako anataka mume kati ya ali kiba na dimond najua utampa ali kiba, bisha
 
Mtoa mada Rudi shule, wakat Mwingine muwe mnajifkria mara tano kabla ya kufungua uzi wa kihuni....inakuwaje Goole na YouTube ziwe hacked na kuwa controlled na mbongo nchi maskin zaid ni ya mwisho Kwa kila kitu duniani? Kuanzia technology mpak elimu, Akli za usku hz...cha kushangaza zaid watu wazima na ndevu zao, wanaamin kabisa diamond anashusha view za mtu
 
Boss mbona kama mfano wako wa bank na youtube haviendani!
Kwamba unajarib kusema mond hawahangaiki nae kwasababu ni kawaida yake???hii ni fact au mawazo yako tu mzee
Na unajarib kusema kua mashabiki wa kiba wanampenda kias kwmba wengi wao wanaangalia sana nyimbo mara nying kuliko wa mond??mmh
Sisemi kua mond anamhujum kiba ila mnajarib kuiweka as if ni kiba tu ndio mashabiki wake kuna ujuzi wa youtube hawana
Umesoma post yote au umeishia mistari miwili mitatu ya mwanzo ukaamua ku-comment?!
 
Back
Top Bottom