jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Habari zenu wana Jf.
Katika maisha na mazingira ya kumfukuzia huyu binti alinisumbua sana wakati na mtongoza kiasi cha kujikatia tamaa sana na kumpuuza mno. Nakumbuka nilimfukuzia yapata miezi mitano mfululizo huku nikimsihi, kumbembeleza na hata kutafuta basi huruma zake japo kidogo bila mafanikio yoyote yale, kweli nilimpenda sana na kila nikimfikiria basi nilikua naumia kihisia huku nikijitahidi kujaribu kila mbinu na zikagonga mwamba zote .
Siku moja nimelala nikashtuka usiku mithili ya mtu anayekata pumzi nikajikuta tuu najiambia huyu mwanamke ataniua nikaamua kumpuuza tuu na kumpotezea japo ilikua ngumu maana alishaanza kuniingia moyoni na kweye damu.
Siku zilienda nimekaa zangu busy na kusaka maokoto huku nikiwa nimejikatia tamaa na wala simtafuti huku nipo busy na pisi zingine, ghafla nashangaa huyo kanicheck yeye mwenyewe na kuanza kujitongozesha huku akinilaumu nimemsusa mwamba nikawa sina habari ila baadae ili bidi kama mwanaume nisikatae mwanamke bali nitengeneze namna awe wangu tuu kiaina japo haikutoka moyoni kama mwanzoni.
Tumeanzisha nae mahusiano na sasa yanaenda sawa tuu binti hana shida kabisa ila kila nikikumbuka alivyo nitesa kihisia , kasababisha nimeaibika sana najikuta na mchukia sana na pindi ni wapo nae nakua mwenye hasira sana akiongea chochote kile kiwe kizuri au kibaya na kasirika sana kwa kweli, pia nikiwa na nyandua na mnyandua kwa uchungu kama kumlipia kisasi kabisa . Namtesa sana kwenye mnyanduano ni mwendo wa hardcore mpaka hasira ziishe ila wapi
Ndugu zangu mahusiano hayajamaliza hata miezi miwili ila baada ya kumnyandua sana kibabe mara kadhaa sasa nimejikuta kumchoka sana, nimemfanyia visa ndani ya muda mfupi ili ajiongeze lakini ni kama haelewi kabisa. Najaribu kila mbinu ya kuachana nae kwa amani ila binti haelewi somo na ndiyo kwanza kila nikiwa zangu busy ana nikumbuka na anazidisha upendo sana, ananijali, ana care kwa kila hali na mwenye huruma sana na hata hela aombi na ikitokea kaomba basi anaanza na samahani ila anaomba hela kidogo sana tuu.
Mimi sina haja na upendo wake tena maana alinitesa sana wakati na mfukuzia , na nilishamkatia tamaa na sasa nimemwoshesha kila dalili simhitaji tena ila masikini haelewi kabisa ndo kwanza anazidisha upendo zaidi
Kuna kipindi analia sana , anaongea kwa huzuni na masikitiko sana lakini mimi hata huruma sina tena, nataka ni mwache aendezake kiroho safi ila naona kabisa atanilaani kama ataenda kwa manung'uniko
Ndugu mimi siogopi laana zake japo sitaki manung'uniko yake, ila kikubwa nataka aende kwa amani na imeshindikana sasa na kila nikimtafutia makosa amekua wa kujishusha sana na kuomba msamaha sana mpaka namshangaa mno
Sasa sijui ni tumie mbinu ipi aende kwa amani huyu binti maana ni mwema sana ila basi tuu akinitesa mno acha aende na naamini atakua kajifunza hatotesa wanaume tena wakiwa wanamtongoza.
Wakuu hebu nambieni ni mfanyaje aende kwa amani ili kuepuka karma maana naona kabisa asipo nisikia kunadalili ya kumfanya single mother