Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

followers kitu gani,unatumia akili gani

impact ya anty ezekiel unaweza ukailinganisha na alikiba???au unaandika andika tu???

views 1.5 mln now,bado una swali??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!

Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
 
Alikiba ndo alipaswa kulalamika sio nyie mashabiki njaa , hizo views zikiwa nyingi mnapata hela nyingi sana au? Maana Amlali
 
Nyie watu kweli mnashida kama siyo matatizo Alikiba kukaa #01 on Trending kwa Siku3 imekua habari kubwa!kweli? Wakati huohuo unajisahau kama Alikiba ametoa Rayvany na Miss Buza wake ndio akakaa yeye!...sasa fatilia Rayvany alikaa kwa muda gani #01 on Treanding ndio kisha uje kumsifia Kiba!
 
Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!

Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
Baadae wataanza kulalamika nako insta wanaujumiwa akili za Kiba hazina tofauti na mashabiki zake kiufupi kiba kapewa mashabiki wanaoendana nao.
 
Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!

Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!

wacha nisikupe wasifu wako leo shabiki mpezi,habuba,huba,mfia mond,ilaaaaaaa.

the power of social network ndio inafanya mtu anafikisha views 1mln within 24 hrs,au sio hivyo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikiba swala lake la Views aliliweka wazi kwenye FNL Juzi sasa nashangaa mnavyolalamika wakati Alikiba Alisema views kupanda na kushuka nikwasababu ya watu kuishambulia video kwa nguvu ...yaani kuitazama sana.
yeye alijibu kama msanii,sio mtaalam.

sisi tunahoji kwanini zipande halafu zishuke,mara speed ipungue nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha nisikupe wasifu wako leo shabiki mpezi,habuba,huba,mfia mond,ilaaaaaaa.

the power of social network ndio inafanya mtu anafikisha views 1mln within 24 hrs,au sio hivyo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
hapo bado wanga hamjaangalitukiwaweka na nyinyi mlivyo wengi views zinafika milioni 100.

wote mmezira

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupuuze basi manake hakuna kazi nisiyoipenda kama kubishana na majuha!! Sioni hoja yako hasa ni ipi zaidi ya kujichekesha chekesha na hivyo vi-emoj! Ni ngumu sana kubishana na mtu wa aina yako ambae unaonekana wazi ama ni maamuma au ni shabiki maandazi!

Nimewapa hapo sources msome na kutoa ujinga vichwani mwenu, kama Kizungu ni shida, that's not my problem!
 
huyu jamaa amekuwa mtu wa ajabu sana wakati huu,na hii ndio sababu inamfanya yule kijana na leble yake wabaki wanahaha why!!!!!

tukiwaambia huyu mtu ana royal fans watu hawakubali,ila maisha yake ya kawaida yanaeleza mengi ambayo upande ule hautaki kuyasikia.

binafsi huwa napata wakati mgumu sana kumwelewa huyo dogo,hela umepata,umaarufu umepata,mafanikuo umepata,fanbase kubwa unayo,kwanini roho za kimasikini kwa ndugu yako njia moja????mpaka huwa najiuliza au anaelekezwa!!!!sio msimamo wake??

au kisa jamaa hatumii nguvu kula

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeandika ROYAL FANS

ili ni neno kubwa sana, mno

Wanaompenda Kiba kwa miaka 17iliyopita, leo na kesho ni kuwa wanampenda yeye kama yeye... Bila boost, kiki, yeye ni kazi na kuliwaza watu

Ni royal fans wa ma rika yote elimu zote jinsia zote na dini zote

Atabaki kuwa hapo hapo mtu ambaye hapelekwi na upepo wa msimu
 
Kuliko yeye, "yeye nani"?! Na kujua nini?!
Sasa anawezaje kuwazidi wakati umeshasema anahujumiwa?!

In short mashabiki wa Kiba mnapenda kulia lia na wala hamjui system ya YouTube inafanya vipi kazi!!

Hakuna suala la kuganda... hicho mnachoita kuganda ni jambo la kawaida kupitia YouTube! Inavyokuwa ni kwamba, YouTube wanatumia bots (software) kukagua akaunti mbalimbali za YouTube, na hiyo kazi ni 24/7!

Hawa bots hawakagui accounts za Kiba ambae hata kumjua hawamjui bali wanapitia accounts mbalimbali! Bots zikikuta kuna suspicious clicks, accounts huwa zinakuwa "in hold" ku-evaluate fake na real views!

Lakini hata account ikiwa in hold, Views counting inaendelea "back office"!

Kama kuna fake views, zinafyekwa kisha akaunti inaendelea pale ilipoishia na itajumlisha views zote zilizokuwa counted back office!

Assume akaunti ilikuwa "on hold" wakati ina Views 900,000 na back office zika-count new real views 80,000 lakini katika kukagua zile 900,000 ikaonekana 10,000 ni fake!

Akaunti ikisharudi kwenye hali yake, itaonesha Views 900,000 - 10,000 +80,000 = 970,000!!

Kwa watu wa IT na Digital Marketers wanaifahamu vizuri sana website ya Hubspot! Msome hapa mmoja wa watumiaji wa huo mtandao akizungumzia hilo suala:-
Na Google wenyewe wanazungumzia hilo suala:-Kwahiyo hayo madai yenu ni porojo na hilo suala linaweza kutokea kwenye akaunti yoyote!!

Au pitia kwenye quora hapa, na hapo kwa chini utakuta posts kibao raia wakijadili hilo suala.

Na YouTube wanafanya hivyo kwa sababu kampuni zinatumia millions of dollars kuweka matangazo yao YouTube!! So, hili kuhakikisha matangazo yao yanaonekana na watu halisi na sio "watu fake/Fake Viewers" ndo hapo Google/YouTube walipotengeneza algorithm zinazopitia hizi accounts 24/7 kuhakikisha no fake views!!
Thanks!
 
Mashabiki wa Kiba wengi ni vilaza, ndo maana unashindwa hata kufahamu uhusiano kati ya Views wa YouTube na Followers bila kujua kwamba hapa tunazungumzia the power of social network!!

Matokeo yake mtaendelea kulia lia kila siku, and nothing change!
kiongozi inaonekana mashabiki wa wasanii wengine wako na elimu sana kiasi kwamba views zao hazigandi au kushushwa hata kidogo kupisha hao kina 'bots'!! hii inakuaje?!!
 
Ngoja nikupuuze basi manake hakuna kazi nisiyoipenda kama kubishana na majuha!! Sioni hoja yako hasa ni ipi zaidi ya kujichekesha chekesha na hivyo vi-emoj! Ni ngumu sana kubishana na mtu wa aina yako ambae unaonekana wazi ama ni maamuma au ni shabiki maandazi!

Nimewapa hapo sources msome na kutoa ujinga vichwani mwenu, kama Kizungu ni shida, that's not my problem!
unajaa upepo kizembe sana.kama mtoto wa kike.

ulitegemea upewe majibu unayoyataka wakati wote,get the fyck out.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una akili ndogoooooo kama pirtoni
unafikiri kwenye hilo eneo wewe unajua zaidi kuliko yeye?!!!
haya, kwahiyo hapo tunaweza kusemaje pale ambapo kina harmonize, mdee wanaomzidi followers kiba kazi zao zinazidiwa kiurahisi tu na kiba katika views?

kwanini kazi za huyu tu ndo views zinaganda na kurudishwarudishwa kila mara?!!!!

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Back
Top Bottom