Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,272
- 144,438
Utani au dharau juu ya neon MUNGU ningekusihi uache,MUNGU sio Magufuli hata umfanyie mzaha na mjadala ndani ya Jf,ukiona umemzoea sana endelea mkuu.
Wewe unakereka na nini mimi kuamini kua mungu yupo??Hahahaa kaazi kweli kweli!
Hivi kweli hadi karne hii watu bado mnaamini huo upuuzi wa mungu hivi mungi vile?
Mkuu achana nae huyoUtani au dharau juu ya neon MUNGU ningekusihi uache,MUNGU sio Magufuli hata umfanyie mzaha na mjadala ndani ya Jf,ukiona umemzoea sana endelea mkuu.
Wewe unakereka na nini mimi kuamini kua mungu yupo??
Anajifanya tahira au kavurugwa na maisha.Mkuu achana nae huyo
Mkuu yaishe...amini unavyoamini sipo Jf kukufanya uamini ninavyoamini mimi.....Nikaushie na sorry kwa kukubughuzi.Kweli kabisa kwa akili yako unadhani mungu yupo?
Umemaliza kashfa zako??I couldn't care less brother-man.
After all, you are entitled to be who you want to be, including stupid.
Mkuu jifanye kama ulikosea njia..achana nae bhana asije akaharibu mood yako bure.Umemaliza kashfa zako??
Nilishampotezea huyo 7bu nafahamu wengine kashfaMkuu jifanye kama ulikosea njia..achana nae bhana asije akaharibu mood yako bure.
Hahahahah ndege wafananao huruka pamoja.Mungu ndio anakupa mke mwema namshukuru sana kunipa mume mwema na yeye kupata mke mwema.Kumbuka kwenye msafara wa mamba na kenge wamo so kama mtakutana wote kenge so pole.Salaam wanajukwa,
Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni kuumizana, usaliti, kuzaa nje ya ndoa, kula mashemeji na mambo chungu nzima ya kuudhi na kuumiza.
Nimetafakari sana nikajiuliza kuna sababu gani mimi KUOA?
Nimekua nikiona rafiki zangu waliooa wakiwacheat wake zao, wadada rafiki zangu wakiwacheat waume zao marafiki zangu ambao hawajaoa wana wapenzi zaidi ya watatu na wanawapanga si mchezo.
Mimi mwenyewe nina wapenzi zaidi ya wawili na hawajuani na nikiwafatilia nao hao wapenzi wangu nao wana wapenzi wengine.
Binafsi nina mtoto nimezaa na mdada mmoja ila sijapanga kumuoa. Kila nikipata wazo la kuoa aisee nikikumbuka mambo ninayosoma na kushuhudia nakufa moyo sitamani kabisa ndoa.
Marafiki zangu karibia wote wameoa, wadogo zangu nao wanataka kuoa ila mimi bado najiuliza naoa kutafuta nini? Si niongeze mtoto mwingine na mwanamke mwingine halafu nilee tu watoto? Kwanini kuleta maumivu ndani ya nyumba?
BADO NAWAZA
Ahsante mke mwema. endelea kumshukuru Mungu wako kwa kutenda juu yakoHahahahah ndege wafananao huruka pamoja.Mungu ndio anakupa mke mwema namshukuru sana kunipa mume mwema na yeye kupata mke mwema.Kumbuka kwenye msafara wa mamba na kenge wamo so kama mtakutana wote kenge so pole.
Hahahah una vitukoMkuu hiyo Avatar sio ya dada yangu, ni yule Gaidi Samantha. alielipua Westgate KENYA
Maamuzi binafsi unatuuliza sisi? Kwani unaishi kuturidhisha sisi?Salaam wanajukwa,
Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni kuumizana, usaliti, kuzaa nje ya ndoa, kula mashemeji na mambo chungu nzima ya kuudhi na kuumiza.
Nimetafakari sana nikajiuliza kuna sababu gani mimi KUOA?
Nimekua nikiona rafiki zangu waliooa wakiwacheat wake zao, wadada rafiki zangu wakiwacheat waume zao marafiki zangu ambao hawajaoa wana wapenzi zaidi ya watatu na wanawapanga si mchezo.
Mimi mwenyewe nina wapenzi zaidi ya wawili na hawajuani na nikiwafatilia nao hao wapenzi wangu nao wana wapenzi wengine.
Binafsi nina mtoto nimezaa na mdada mmoja ila sijapanga kumuoa. Kila nikipata wazo la kuoa aisee nikikumbuka mambo ninayosoma na kushuhudia nakufa moyo sitamani kabisa ndoa.
Marafiki zangu karibia wote wameoa, wadogo zangu nao wanataka kuoa ila mimi bado najiuliza naoa kutafuta nini? Si niongeze mtoto mwingine na mwanamke mwingine halafu nilee tu watoto? Kwanini kuleta maumivu ndani ya nyumba?
BADO NAWAZA
Ni kweli maana ukifanya utafiti mdogo tu utaona ukweli usaliti ni mkubwa mnouhuru haina shida saana shida ni namna kasiya usaliti ilivyokubwa