Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kuna sababu gani mimi kuoa?

"Nikaona kuolewa ni bora kwa maslahi ya muda mrefu"

Asee nimependa sana hii. Kama sijakosea haikuwa pressure sana kwako, kama ilivyo miongoni mwa wengi.

Cos apparently, "the conventional wisdom" has it that, we can't survive without marriage.
Nilifikiria hizi energy na enthusiasm eventually zitaisha tu, then what? itkuwa ni long boring life....ila ukiwa na watoto waliolelewa na wazazi wawili excitement still utapata, wakiwa na wajukuu furaha inaongezeka, pia na majirani....i pictured
 
  • Thanks
Reactions: kui
Yule rais wa Taiwan sijui mwanamke aliulizwa hujaolewa akasema hawezi nunua nguruwe nzima kwa ajili ya sausage. Acha usioe kama Hitaji lako kwa mwanamke Ni Hilo tu utamtesa mkeo
ha ha ha ha nimecheka sana
 
Mwana FA mwenyewe kabaaaana mwisho wa siki kaachia. kuna wakati utafika utalainika tu utajipeleka mwenyewe kutoa mahali
 
Mkuu usikimbilie kuoa kabisa

Mimi nipo katika situation hiyo hiyo, hakuna umuhimu wowote wa kukimbilia eti kuoa...kwanza wanawake wenyewe ndio hawa wa sikuhizi?

Tafuta Pesa...Kula bata...Saidia ndugu zako na wasiojiweza upate baraka.

Utakula hata kunywa bata kweli kweli lakini Mungu si Athumani fainali yako ni uzeeni ama ukitetereka itakuanzia pale utakapokumbwa na matatizo mazito yakakayohitaji msaada; mathalani ukikumbwa na gonjwa sugu litakalohitajia uangalizi wa karibu...hapo ndipo utakapokiona cha mtema kuni: Hata marafiki na maswahiba wako waliokuwa wakikugida wakati wa neema wanakutupa mkono, ndugu zako watakunyanyapaa, na kwa vile huna mke wala watoto ..utafia kidhariri kwenye ghetto lako kama panya buku shoga!
 
Back
Top Bottom