Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kuna uhakika kwamba asipogegeda yeye basi na mkewe hatakuja kugegedwa?


maadam kasema kua yeye pia anao wawili anao wagegena na wana jamaa zao pia basi akitulia yeye na hao wanawake anao wagegeda pia watatulia na jamaa zao

the same in marriage
 
Faida za kuowa
1. Huwa si mzinifu ukiwa kwa mke wako na huepuka mengi (kufumaniwa).
2. Unapata watoto halali wanaomridhisha mungu.
3. Zinaa ni uchafu na huleta ufukara.
4. Unapata utulivu ukiwa ndani ya ndoa.

Zingatia haya ukiwa unagegeda vya wenzio bac na ww jiandae kuchapiwa na asietaka kuowa ni mzoefu wa zinaa
 
Faida za kuowa
1. Huwa si mzinifu ukiwa kwa mke wako na huepuka mengi (kufumaniwa).
2. Unapata watoto halali wanaomridhisha mungu.
3. Zinaa ni uchafu na huleta ufukara.
4. Unapata utulivu ukiwa ndani ya ndoa.

Zingatia haya ukiwa unagegeda vya wenzio bac na ww jiandae kuchapiwa na asietaka kuowa ni mzoefu wa zinaa
Mkuu daah
 
hata mie mwanaume mwenzake alikua yuko busy kuniita bby kisa hiyo Avatar ya huyo gaidi Smatha
Ha ha haa nimejikuta kucheka...

Huyu jamaa anapenda ma beibe. Ana undugu na yule ndege impala nini
 
Faida za kuowa
1. Huwa si mzinifu ukiwa kwa mke wako na huepuka mengi (kufumaniwa).
2. Unapata watoto halali wanaomridhisha mungu.
3. Zinaa ni uchafu na huleta ufukara.
4. Unapata utulivu ukiwa ndani ya ndoa.

Zingatia haya ukiwa unagegeda vya wenzio bac na ww jiandae kuchapiwa na asietaka kuowa ni mzoefu wa zinaa
-Uzinifu ni suala la mtu kulala na mke wa mtu, je waliooa hawatembei na michepuko au wasio wake zao? Wangapi wanafumaniwa?

-Hakuna guarantee kwamba ukioa utatulia.
 
Kuoa ni jambo jema sio tu kwa jamii bali hata kiimani...Mi sijaoa bado ila natamani ningeoa within my 20's! Ni raha sana mwenye uwezo aoe mapema tu hasa ukiwa na mwanamke sahihi. Ni nzuri kiafya kuzaa mapema mkalea watoto mkiwa bado na nguvu zenu mpaka wanafikia age flanii hivi ya 16-20 hapo unawamanage vyema hadi raha! Teach them good deeds unakuwa mshua halafu bado kijana! Kuna raha kubwa tu ni hivyo bado mambo hayajakaa sawa!
 
Salaam wanajukwa,

Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni kuumizana, usaliti, kuzaa nje ya ndoa, kula mashemeji na mambo chungu nzima ya kuudhi na kuumiza.

Nimetafakari sana nikajiuliza kuna sababu gani mimi KUOA?

Nimekua nikiona rafiki zangu waliooa wakiwacheat wake zao, wadada rafiki zangu wakiwacheat waume zao marafiki zangu ambao hawajaoa wana wapenzi zaidi ya watatu na wanawapanga si mchezo.

Mimi mwenyewe nina wapenzi zaidi ya wawili na hawajuani na nikiwafatilia nao hao wapenzi wangu nao wana wapenzi wengine.

Binafsi nina mtoto nimezaa na mdada mmoja ila sijapanga kumuoa. Kila nikipata wazo la kuoa aisee nikikumbuka mambo ninayosoma na kushuhudia nakufa moyo sitamani kabisa ndoa.

Marafiki zangu karibia wote wameoa, wadogo zangu nao wanataka kuoa ila mimi bado najiuliza naoa kutafuta nini? Si niongeze mtoto mwingine na mwanamke mwingine halafu nilee tu watoto? Kwanini kuleta maumivu ndani ya nyumba?

BADO NAWAZA
Mkuu wwe endelea tu kufanya kolabo 2 kwani hamna namna
 
Back
Top Bottom