Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kuna sababu gani mimi kuoa?

kwanza wazazi wako wanaishi maisha ya ndoa au vip? inawezekana ukawa muoga wa ndoa kutokana labla unaweza ukawa mbinafsi wewe mwenyewe na inawezakana ukawa unapenda kutoka na mademu tofauti tofati kumbuka ndoa huitaji kutafakari sana kabla ujaindia huko
tafuta wanasaikoloji wakupe ushauri kwa kina
Ahsante kwa ushauri Mkuu. nna mzazi mmoja mwengine kishatangulia mbele za haki. Mkuu ukweli kabisa kila nikiwaza kuoa akili yangu inakataa kabisa kabisa
 
Kwanza nilijua wewe ni mwanamke maana mwanaume rijali hawezi kuweka avatar ya dada yake.inaonesha una tabia za kike ndo maana huoni umuhimu wa kuoa.
Mkuu hiyo Avatar sio ya dada yangu, ni yule Gaidi Samantha. alielipua Westgate KENYA
 
umdanganye nini sasa?unapenda kuwachezea wasichana afu huoi,ngoja wakuzalishie wanao bila ndoa ndio utajua utamu wake,what goes around,come back around...............................shaurilo
NIKO TAYRI KABISA TENA KIROHO SAFI KUZAA NA KULEA MTOTO
 
Mwerevu anafikiri mjinga anawaza...
 
Basi endelea kuwaza maana hata mimi naona ugumu wa kukushauri maamuzi yako hapa baada ya kuwaza yatakuwa sahihi zaidi ya haya tunayokupa hapa kwa kuwaza kwa muda mfupi tu huku wewe uliyewaza tangu kitambo kirefu hujapata jibu mi naona uendelee kuwaza
 
Licha ya hayo kuoa au kuolewa ni lazima uuze sehemu kubwa uhuru wako. hicho nacho ni tatizo.
 
Wazazi wako walikua wameoana au walikuzaa zaa tu?
Kama walikuzaa zaa tu basi nawe usioe...zaa zaa tu.
 
Basi endelea kuwaza maana hata mimi naona ugumu wa kukushauri maamuzi yako hapa baada ya kuwaza yatakuwa sahihi zaidi ya haya tunayokupa hapa kwa kuwaza kwa muda mfupi tu huku wewe uliyewaza tangu kitambo kirefu hujapata jibu mi naona uendelee kuwaza
Nashukuru sana
 
Licha ya hayo kuoa au kuolewa ni lazima uuze sehemu kubwa uhuru wako. hicho nacho ni tatizo.
uhuru haina shida saana shida ni namna kasiya usaliti ilivyokubwa
 
Back
Top Bottom