Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
Hakuna haja hapo..Cha msingi ni kununua nyama na kuila utakavyo huku ukishushia na maziwa fresh. Kufuga ng'ombe kupotezeana mda tuKama maziwa yanapatikana mitaani na nyama mabuchani, kuna haja gani ya kufuga ng'ombe???
