Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

tamu 3

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
88
Reaction score
216
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
 
Unakitu, utafika mbali...
Karibu PM tukupe ujanja wa kuishi na mafanikio ya nyota yako...
 
Kila kitu huanzia kwenye mawazo, halafu kama unajihisi unachukiwa 😀 haupendwi, unasengenywa. Badilika Lipa negative kwa positive. Lipa chuki kwa upendo, kisirani kwa tabasamu usitake kuwafanya watu unaoishi nao waishi kama unavyotaka wewe. Hapo utaumia sana roho.

Huwezi kumfanya mtu awe vile unavyotaka. Anza kubadilika wewe. Shinda mabaya kwa mema.
 
Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.
Itoshe kusema wewe ni mtu uliyeamua kuwa mpumbavu kwa sababu zako binafsi. Kisirani kwa mumeo bila sababu za msingi ni uwendawazimu unaosababishwa na kiburi, ukatili na roho mbaya uliyo nayo. Ninawaunga mkono wanaokuchukia. Jitahidi sana uache ushenzi kabla mwaka huu haujaisha.
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.

1. Mara nyingi wanaokuchukia ni wale uliowazidi kwa namna fulan
2. Hao siyo aina yako
3. Hama mtaa
4. Namna yako ya kuishi kwa mipaka ni sahihi
5. Endelea kutimiza malenho yako
6. Usiwafikirie sana wakuchukiao
7. Huwezi kupendwa na kila mtu
 
Nicheki pm nabii wa Mungu nitakufungua bure ufutahie weka wa Mungu. Nitakuambia source ya tatizo lako na wapi lilianza.
Nimejisikia kukuhurumia.
 
Hama kwenye huo mtaa uliojaa watu masikini na waliojikatia tamaa ya maisha,
Tatizo kubwa ni umezingirwa na watu masikini,wenye wivu na wasio na shughuli za kufanya,
Fanya mambo yako,jiweke karibu na watu wa familia yako,acha mazowea na watu masikini,hua wana roho mbaya na chuki bila sababu ya msingi.
 
Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu.

Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa watu, watanisaliti, na kunisema vibaya. Watanisengenya sana. Imeenda hivyo mpaka nakua mama wa familia.

Hapa tunapoishi, majirani zangu karibia wote wanacheka na mimi kinafiki tu, ila hawanipendi kabisa. Hilo naliona hawanishirikishi mambo yao. Imeani, wakiuguliwa au kuugua, wakiwa na sherehe au jambo lolote, kuna wakati wataniambia ili, wakati mwingine hawasemi.

Nitasikia tu kwa watu huko, na kunisema vibaya. Na hata nikiwa na ukaribu na mtu, ule ukaribu huwa unapotea gafla, na niliyekua nae karibu atanichukia na kunisema vibaya kwa mambo ya uongo.

Nateseka sana na hiyo hali kaka yangu, kiasi kwamba imeshaniadhiri. Hata mtu akinionyesha upendo wa kweli, naona kama ananiigizia. Hiyo kitu imeleta madhara mpaka kwenye ndoa. Nimekua mtu wa kuwa na kisirani sana, hasira tu muda wote, majibu mabaya kwa mwenzangu.

Lakini sasa, mimi ni aina ya wale watu tuseme wanajitenga flan hivi kutoka nje kwenda kupiga stori na wengine, huwa siwezi. Muda mwingi huwa nautumia kufanya kazi zangu za nyumbani, baada ya hapo nitapumzika kwa kulala au kuangalia TV.

Ninatoka mara chache sana kupiga stori. Nipo hivyo kwasababu mtaa ninaoishi ni mtaa ambao waswahili sana, na wanapenda kuchunguza na kujua kila kitu kwenye maisha ya mtu. Hivyo, binafsi huwa siwapii huo mwanya wa kujua jambo langu, kwasababu nikiwaambia tu watanisengenya sana.

Sasa sijui mimi nakosea kukaa mbali nao, au ni sawa ninavyofanya kuwapenda wakiwa mbali. Naomba unishauri, na wewe nifanyaje? Na wanaonichukia wala sio wanaume, ni wanawake wenzangu.
Hakuna mkamilifu, relax endelea na maisha yako.
Ila kama uko reserved kiasi hicho, wanawezaje kufahamu mambo yako hadi wayaongee?

Labda mtu akuumize physically, uswahilini kusemana ndio utaratibu.
 
Back
Top Bottom