Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Kuna Mtu Anautesa Moyo Wangu Hapa JF

Umepotea ukaniacha peke angu Erick ananishambulia, ila nimepambana mpaka kakimbia!

Umeanza biashara ya kuuza ngozi ya ng'ombe? Manake huko kijijini sijaelewa!

mtaji wangu wa nyanya umenikoa,nimekuja kuangalia kiwanja nijenge kajumba kangu
 
Umepotea ukaniacha peke angu Erick ananishambulia, ila nimepambana mpaka kakimbia!

Umeanza biashara ya kuuza ngozi ya ng'ombe? Manake huko kijijini sijaelewa!
Hahahahaaaa nani kakimbia wewe??
Mimi?
Nilienda kwa Amy....sema jingine
 
Halaf hii avatar yako mbona unanitazama mimi? Si umesema ameanzia na T..........
 
Unapokuwa unataka kumwangukia mtu lazima uspecify jinsi yako
Kwani we unataka nini wakati wewe tayari uko na Mtu?
Kwanza hukupaswa hata kuingia ndani ya hii Thread....
Umemkosea sana SweetLady....Yan wewe si mwaminifu hata kidogo....na namshangaa anang'ang'ania nini....
Lol
 
Mimi greti thinka bana, huyu jux ananimind mimi lakini kaamua kuzunguka zunguka ili kunipima temperature.
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Kwani we unataka nini wakati wewe tayari uko na Mtu?
Kwanza hukupaswa hata kuingia ndani ya hii Thread....
Umemkosea sana SweetLady....Yan wewe si mwaminifu hata kidogo....na namshangaa anang'ang'ania nini....
Lol

Sema unachotaka kutoka kwa SL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom