Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,020
Jibu lake limenichekesha sana ujueDavet usicheke
Jibu lake limenichekesha sana ujueDavet usicheke
Sasa sina wa kulana nae si heri nimpe mpe tu nikiwa nasubiria [emoji23][emoji23]Oooohoooo lakini anakula kama kawa
AiseeSasa sina wa kulana nae si heri nimpe mpe tu nikiwa nasubiria [emoji23][emoji23]
Kwanini jamani? Usituache wenyeweNaomba kuutelekeza uzi[emoji23] [emoji23]
Mimi sivijui kwakweliJibu lake limenichekesha sana ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naenda kuanzisha mwingine wa busara za hazard huko chitchatKwanini jamani? Usituache wenyewe
[emoji44][emoji44]Sasa sina wa kulana nae si heri nimpe mpe tu nikiwa nasubiria [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sivijui kwakweli
Niache kwanzaWewe ndio
Pole mbabeVyote kwakweli
AsanteKazi njema ndugu
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Jibu lake limenichekesha sana ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa sina wa kulana nae si heri nimpe mpe tu nikiwa nasubiria [emoji23][emoji23]
Nini shem?[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
UsimsemeeNini shem?
Jamaa hana michepuko bwana...
Kulikoni shem?Kupigwa kibuti sioo sababu ya wewe kuzeeka kwa vilio vya masononeko na lawama za Why me Lord Why me kama Shaggy..Tabasamu lako lazima liendelee kipindi cha Jua au kipindi cha mvua..Hakuna Binadamu mwenye kauli ya mwisho kwa furaha na smile yako,There is life still after a break up,kama alivyokuja kwenye maisha yako na kukukuta unasmile muache aondoke peke yake na aliache smile pale alipolikuta..Usimfanye ajihisi yeye ndo malkia saaaanaaa,au yeye ndo mfalme kiivyo,kwamba alipoondoka maisha yako yame-shake,kwani yeye ni nani??Alichangia hata koleo moja kwenye karai la udongo aliotumia Mungu kukuumba???Tupa kule...
Ladies and Gentlemen,Keep smiling always no matter what,wewe ni kama ATM ya NMB,People will always come in,withdraw money and go,Huna haja ya kumlilia mpuuzi yeyote asiyejua thamani ya Penzi lako!
Kamata glass tugonge cheers[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
Hahaha kwann?Kulikoni shem?
Mimi nina uhakika braza hawezi kukufanyia hivyoUsimsemee