Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Dangia n nnSi Bora kuliko angemdangia?!
Dangia n nnSi Bora kuliko angemdangia?!
Dangia n nn
Mje na mrejesho sasa msisubir tuwaulizeeKuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
Kishoka anakaa ndani ya ofisi ya umma,basi huyo kishoka ni mtumishi wenuKuna haki ya kusikiliza upande wa pili na uchunguzi hivyo tumelipokea kwa kulifatilia wakati mwingine unakuta mtu katoa fedha kwa kishoka asiye mfanyakazi wa TANESCO ndio maana tunasisitiza kuchunguza
Acha kujidhalilisha wewe ulitaka akupige bure?Tuliomba lisiti ya hiyo huduma ya picha hakutoa, kwani vibaya kudai lisiti?
Acha kuharibia kazi watu wewe mjing.a.Kama mwezi hivi umepita!
Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco!
Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake!
Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele nyingi kichwani, kikamwambia dogo atoe hela ili kimpige picha ya passport! Dogo kwasababu kilimwambia picha alokuwa nayo haifai! (Hakijasema haifai kivipi)
Dogo akakubali kupigwa hiyo picha, Hicho kidada kikampiga picha dogo kwa simu pale dirishani na kuisafisha mle mle ndani ya ofisi ya umma!
Dogo alipoomba kupewa ile fomu, kile kidada kikamwambia atoe hela ya picha kwanza!
Dogo akatoa pesa pale dirishani lakini hakupewa listi yoyote ya ile pesa,
Baadae akanipigia simu kunielezea ilivyokuwa nikashangaa! Inakuwaje mfanyakazi wa umma anakuwa na ujasiri wa kiwango kile!
Nikamwambia dogo aulizie namba ya meneja pale ili nipate kumuuliza vyema,
Nikabahatika kumpigia simu yule meneja, lakini ajabu akasema wazi malalamiko ya hicho kidada hata yeye yanamkera kashakionya Mara kadhaa lakini yanajirudia!
Nikauliza mbona nimetozwa pesa ya picha katika ofisi ya Tanesco hapo afrikana pasipo kupewa lisiti? Yule meneja akasema atalifanyia kazi,
lakini ajabu hadi Leo sikupewa taarifa yoyote na malalamiko nilimfikishia!
Sasa nikajiuliza, kama mambo kama hayo kile kidada kimenifanyia Mimi hivyo.
Je ujasiri huo wa kupiga picha kwenye ofisi ya umma kimewafanyia watu wangapi?
Ina maana kinafanya biashara ndani ya ofisi ya umma?
ujasiri ule nani anakipatia?
Pia kama meneja alinijibu kuwa taarifa na malalamiko ya huyo mfanayakazi ni mengi na kashamuonya Mara kadhaa lakini haachi, je hicho kidada kinapewa jeuri hiyo na nani?
TANESCO YETU embu fuatilieni mtuambie hicho kidada cheupe chenye nywele nyingi pale mapokezi Tanesco mbezi beach afrikana kimewekwa pale na nani hadi kiwe jeuri namna hiyo?
Kinafanyia hivyo watu wangapi?
hairuhusiwi mfanyakazi wa umma kutumia ofisi ya umma kufanya biashara binafsi. Nadhani ndiyo hoja ya mleta uzi... alikubali kupiga picha kwa kuwa alijua ni sehemu ya huduma ya ofisi na kwamba hata kama atalazimika kulipia inabidi apewe risiti ya malipo.Wewe ulivyomjazia gallery ulitegemea nini? unataka picha ya bure simu ya babako?
Hata Mimi nimeshangaa! Hicho kidada hadi meneja wao amekitambua kuwa ni kifanyakazi chao jeuriKishoka anakaa ndani ya ofisi ya umma,basi huyo kishoka ni mtumishi wenu
Mkuu naomba hiyo namba PM maana TANESCO wanazingua nimeomba umeme mwezi wa tano huu unaelekea kuisha, nimejaza form lkn sijapewa control number kwa ajili ya malipo ya umeme ili waje kuniwekea kwanguMkuu ungeniomba namba ya mtu flani tanesco. Huyo dada na meneja wake wangenyooka ndani ya dakika tano
Kupuuzia mambo madogo kama haya ndiko kumetufikisha hapa tulipo, mimi pia huwa napotezea lakini ukweli ni kwamba tunailea rushwa ndogo inayozaa rushwa kubwa zaidi.Hela ya picha bei gani? Mambo mengine sio yakulalamika, mbona leo nimetoa hela ya mipira hospital lakini sijapewa risit na mgonjwa kahudumiwa saizi tupo home. Sometimes usicomplicate Mambo jitahidi kuishi kadili ya mazingira.
Hata mm nimesikitika sana, kibaya zaidi pale nilipoambiwa boss wake kashamkanya lakini ni jeuri!Kupuuzia mambo madogo kama haya ndiko kumetufikisha hapa tulipo, mimi pia huwa napotezea lakini ukweli ni kwamba tunailea rushwa ndogo inayozaa rushwa kubwa zaidi.
Yesu akasema " mtu wa mshahara na aridhike na mshahara wake"
Watu waliotembea nje ya nchi za wenzetu wataniunga mkono kuwa...wenzetu wawapo ofisi za umma akikuhudumia vizuri na ukataka kumpa asante...hawezi kupokea hadi amuulize boss wake na akikatazwa anskurudia na kukwambia...no, thank you.
Je Tanesco mna utaratibu wa kupiga picha pps na kusafisha maofisi mwenu? Uchunguzi tuanzie hapa ili tujue nn na nn tunahitaji tofauti na hapo ni majungu ya mtoa taarifaTunaendelea kuwasihi wateja wetu kujenga tabia ya kufata taratibu haswa za kufanya malipo yote ya Serikali kupitia namba ya kumbukumbu ya malopo yaani control number, malipo yote unayofanya nje ya mfumo sahihi ni uvunjifu wa sheria na taratibu
Tena ilinisikitisha sana, na nitahakikisha nafuatilia ili nipate na jina ikiwezekana na picha ya hicho kidada #TANESCOJe Tanesco mna utaratibu wa kupiga picha pps na kusafisha maofisi mwenu? Uchunguzi tuanzie hapa ili tujue nn na nn tunahitaji tofauti na hapo ni majungu ya mtoa taarifa
Usiwafundishe TANESCO kazi. Wanajua wanachokifanya!Msikulupuke kuchukua maamuzi! Kama amefanya kosa kweli aonywe na kazi iendelee
Njia rahisi zaidi nikuwabana staff wenzake waliojilani naye! Kuwahoji kwa siri waeleze huyo dada ameanza lini hiyo biashara ya kusafisha picha, na anatumia mashine gani! # TANESCOUsiwafundishe TANESCO kazi. Wanajua wanachokifanya!
Wao ndio wanalo file la huyo dada. Je kama ameshapewa maonyo kadhaa?? Bado waendelee kumuonya tu??