TANESCO Mbezi Beach wazembe, meneja wilaya mzembe

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
617
Habarini wakuu?

Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?

Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme unaambiwa Luku yako haijwa activated. Ukienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekuwa ishu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.Hata manager wao atakuwa mzembe.

Nasafiri, nikirudi Jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi.

Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,363
10,430
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. Zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme inaambiwa Luku yako haijwa activated. Ikienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekua inshu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.
Hata manager wao atakua mzembe, nasafiri nikirudi jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi. Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
Hizi Ofisi za Umma ukienda kupata huduma mpaka unajisikia kama umeenda kuomba Msaada. Hawajali kabisa Wateja
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
8,326
19,521
Unit 10 unatumia week moja?hauwezi ukawa unakaa mbezi beach. Activation process ilitakiwa uifanye hapo hapo ofisini kwao, 10 units ni ndogo sana
 
kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
570
716
Hapo mbezi ni tatizo,nilitoa taarifa nilikalishwazaid ya wiki 2 hakuna msaada
 
MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
617
Dogo kulikuwa na haja gani kunishtaki humu jamvini? Nakusubiria sasa uje jumatatu nitakuzaba mfululizo wa vibao
Usilete mzaha kwenye kazi , watu wahudumiwe haraka iwezekanavyo sio majibu short cut wakati kazi hazifanyiki kwa wakati
 
BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,773
23,063
Unatakiwa ukishafungiwa kukj uende ukaactivate hiyo luku yako. Usisubiri ziishe. Hivi wanatoa unitis 10 au 50????

Kabla hujanjrushia mawe...nimejibu kutokana na uzoefu..... halafu watumishj wa tanesco ndivyo walivyo...labda ni culture ya kampuni yao
 
MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
617
Mkuu kadada keupe kanene flan ndo kajeuri!?
Kashenzi sana kanafanya kazi kwa mazoea. Kamekaa kama ka kichaga hivi ila mbona wachaga wachapakazi? Au kwa kua ni ofisi ya umma? Kanatanguliza sana rushwa mbele
 
MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
7,330
14,774
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. Zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme inaambiwa Luku yako haijwa activated. Ikienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekua inshu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.
Hata manager wao atakua mzembe, nasafiri nikirudi jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi. Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
Mnaokaa Ushuani hivi Mbezi Beach mkilalamika na Sisi tunaokaa Chanika Bonde la Mbu au Mpiji Magohe tusemeje Ndugu? Nunueni Majenereta.
 
MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
617
Hizi Ofisi za Umma ukienda kupata huduma mpaka unajisikia kama umeenda kuomba Msaada. Hawajali kabisa Wateja
Yaani wanajiona miungu watu, watanzania sisi wengi ni wavivu kama ofisi za umma zipo hivi. Ndio maana vitengo vikubwa kwenye makampuni makubwa wanapewa watu wa nje.
 
mmangO

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
961
1,455
Kashenzi sana kanafanya kazi kwa mazoea. Kamekaa kama ka kichaga hivi ila mbona wachaga wachapakazi? Au kwa kua ni ofisi ya umma? Kanatanguliza sana rushwa mbele
Dah Mkuu mi na kesi nao hao Tanesco Mbezi beach ,mwaka huu nalala nao wasipoangalia nitawaletea mpaka waandishi wa habari wadhalilike ..
 
TANESCO

Official Account
Jul 12, 2014
4,414
1,967
Habarini wakuu?
Hivi hawa Tanesco pale wilaya ya Mbezi Beach wanataka tuwafanyeje?
Yaani mtu anaunganishiwa umeme anapewa unit 10. Zikikata inapita zaidi week nzima unaenda kwa Vendor kununua umeme inaambiwa Luku yako haijwa activated. Ikienda pale na meter yako utasikia baada ya masaa 2 kanunue, yakipita holla. Yaani kila siku ni wimbo ule ule, yaani kuactivate meter imekua inshu mtu anafuatilia utadhani ni mafao.
Hata manager wao atakua mzembe, nasafiri nikirudi jumatatu naenda ofisini kwao kwa mara ya nne, kale kadada keupe ndio jeuri zaidi. Hawa watu ni wavivu sana, tunakula sikukuu na giza kwenye hizi nyumba mpya za kudunduliza.
Lazima niondoke na mtu
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Namba ya mita

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Top Bottom