Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Wana sheria nifahamisheni, nini maana ya uchochezi kisheria?Uchochezi kwa maana ya lugha, basi sioni tofauti ya utabiri wa hapo juu na ule utabiri iuliochapishwa gazetini na kupelekea Gazeti kufungiwa na wahusika akina Tundu Lissu na Jabir Idrissa kufunguliwa kesi ya uchochezi.
 
Twende mahakamani!!!
 
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Kama unafikiri Paul Makonda ataondolewa Dar unajidanganya!

Toka makonda aweke wazi kupambana na tabia za kishoga na mashoga amepata upinzani mkubwa sana...
 
Back
Top Bottom