Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

Miezi 3 ndo muda mfupi ujao?
unataka kujifanya Marehemu Sheikh Yahya na utabiri wa kubahatisha! Mbona hukutabiri kwa KITWANGA KUINGIA BUNGENI AMELEWA HATIMAYE KUTIMULIWA?

Labda ungelisema una tegemea ndani ya miezi 3-6 kutokea MAJANGA KWA WATEULE WAPYA WA RAIS: wakiwemo WAKURUGENZI, MADAS NA MARAS KWA KUBORONGA KAMA ILIVYOTOKEA KWA MTEULE WA JPM KWENYE UKUU WA MKOA!
 
Yaani mambo mengine kadhia tupu. Si nkakimbilia kufungua uzi nkidhani Nabii katokea jf? Kumbe upuuuziii mtupu. Ati miezi 3 hadi 12 kwake ni muda mfupi tu ujao. Unatarajia kuishi miaka 100 hapa Tz?? Haya nabii tumekusikia. Naongeza unabii wangu pia. Kutokea uchaguzi Tz 2020 October. Watachagua rais, wabunge na madiwani. Nawasilisha
 
Huyo Katavi hana lolote Magufuli kuwambia wanaccm waondoke ni utabiri wakati ule wa kampeni alikwishasema watu wengine Kwa uongo
 
Eti JPM atapewa wenyekiti wa CCM na kuwaambia wanafiki waondoke- huo ndio utabiri? Useless
 
Back
Top Bottom