Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,648
Reaction score
58,453
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
 
Emb katoe Loki maana limekukaa hatari!! Miezi 3-12 ni muda mfupi ujao?
Huyo unayesema yupo makini ana miezi tisa tu ikulu na mambo ni shaghalabaghala tu!!

Anyway katoe kwanza hilo Loki la weekend!!
 
Back
Top Bottom