Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

Magufuli kuachiwa mbao za chama maana kitakuwa kimejifia natural death. Yeye na Makada wake RCs, DCs, DASs na Wakurugenzi ndio wanaachiwa CCM. Party Stalwarts wote wataondoka waziwazi au usiku na kutafuta njia nyingine ya kuishi mjini hapa. Unaachaje watu kama Nchimbi na wenzake halafu utegemee kuwa salama.
 
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Mbona hayo ni wazi kabisa na si mapya.
Ni sawa na kutuambia jua litatokea mashariki kesho asubuhi!
 
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Mjinga wa kutoigwa
 
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Mjinga wa kutoigwa
 
Magufuli kuachiwa mbao za chama maana kitakuwa kimejifia natural death. Yeye na Makada wake RCs, DCs, DASs na Wakurugenzi ndio wanaachiwa CCM. Party Stalwarts wote wataondoka waziwazi au usiku na kutafuta njia nyingine ya kuishi mjini hapa. Unaachaje watu kama Nchimbi na wenzake halafu utegemee kuwa salama.
Mwambie Nchimbi amfuate Lowasa, kwani hajui aliko?
Na nyie mnsofikiri chama ni cha majina fulani endeleeni kulala mlango wazi.
Wameondoka kina Kingunge na chama kinadunda.
 
Hizi nyuzi zinazomhusu Makonda kuondolewa jiji ni bahati mbaya au mpango maalum.?
Kamuulize sele bonge, maana yeye ndio swahiba wake, kutwa wako kinondoni wanachagua mashati ya mitumba na sarawili.
 
Kuna mkakati Wa vijana Wa Lumumba kuwaondoa vijana wenzao mjini dar sasa jamani mnataka wakalime au Na wao wakamatwe kwa kuwa awana kazi
 
Mathematically Incompetent miezi 3-12 haiwezi kuwa muda mfupi. Tathimin thread yako kama bado inatosha kuwa kwenye Wall za JamiiForums.
 
Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!

2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!

3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!

Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?

Time will tell!!!
Hapo hujatabiri mkuu ume analyse based on some facts ni kitu ambacho kinaweza fanywa na mtu mwenye akili ya kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom